Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
Ficha ujinga wako , unajoa hasara ya kupeleka bajeti kwenye useless issue, wakati huo hudjma ya maji safi haijafikia wananchi wote miaka 60 ya uhuru ??Itaongeza pesa katika mnyororo wa thamani, wengine hulipwa per diem, wengine watapata tenda za kupamba uwanja n.k.
Sarcasm is not for everyone !Ficha ujinga wako , unajoa hasara ya kupeleka bajeti kwenye useless issue, wakati huo hudjma ya maji safi haijafikia wananchi wote miaka 60 ya uhuru ??
Huu ni ujinga usiopatikana duniani isipokuwa Tanzania,hivi ni akili au matope? Rais aliekufa madarakan na aliekufa nje ya madaraka wote si marehemu? Kwann tuazimishe kwa wale waliokufa wakiwa madarakani tu? Yaan hili taifa lina viongoz wa hovyo sana,nchi maskini bdo maazimisho kibao hata yasio na tija, nonsenseHii inahusu Marais waliofia Madarakani TU.
Ukifa kama Mstaafu siku ulokufa watu wanapiga kazi kama kawaida
Ametuachia Wabunge wa kusaini mikataba.
🤣🤣🤣Haya ndio mambo Africa tunaweza, wacha tuuziwa hadi vijiti ya kuchokonolea meno
Njia pekee ya kumuenzi magufuli hiyo tarehe ni kufanya kazi kwa bidii ili kuenzi kaulimbiu ya hapa kazi tu.Kama niivo, basi hii itakua sheria ya pili kupitishwa yenye lengo la Kurejesha na kulinda Legacy ya Hayati JPM.
By the way am Pro-magufulinism