Ratiba ya kamati ya bunge ya katiba na sheria haijabainisha ni lini muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba utajadiliwa na kamati hivyo mjadala wa muswada wa sheria hiyo kufa na kutorudishwa bungeni.
Tafsiri yake ni Rais Kikwete kadanganya umma katika hotuba yake ya mwisho wa mwezi kwamba swala hilo linajadilika, huku akitambua mjadala wa marekebisho hayo lazima ufanyike bungeni na ratiba ya kamati haijaweka muswada huo katika mjadala wa wadau na kamati.
Ni kwa mujibu wa mnadhimu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni Mh Tundu Lissu mara baada ya kupokea ratiba ya shughuli za kamati ambayo imejaa zafari.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisin kwake katika ofisi ndogo za bunge punde amesema msimamo wa vyama vya upinzani upo pale pale kuanzia tar 10 hadi kuelekea bungeni Dodoma ndio kitaeleweka hadi watanzania wapate katiba wanayoitaka.