Muswada wa mabadiliko ya katiba watupwa nje, Kikwete adanganya umma

Muswada wa mabadiliko ya katiba watupwa nje, Kikwete adanganya umma

Wachina wako wapi kuja kuwasaidia Ccm?

wachina ni marafiki zetu na hawataacha kushirikiana na ccm eti kwa vile tu chadema wanashirikiana na nchi za kiliberali kama vile ujeruman na demnark
 
Makuzi kama hayo yanatokana na ccm. Hebu niambie mtoto wa Lusinde , Mwiguru , komba,kigwangara, na wengineo watakua na maadiri tofauti. Hayo ni matunda ya ccm inayotaka kutawara milele. Umhimu wa kuipumzisha upo. CDM tunakiamini.
 
Raisi Kikwete haaminiki! Anasema asichotenda na anatenda asichosema!

Kila anachokisema ama kukiahidi, ndugu mtanzania changanya na zako, usiimeze nzima nzima!
 
kucha za nini? au unafikiri humu kuna mtu anayeendesha michezo michafu kama ya bavicha na red brigade yao

Green guard 11 wamekamatwa Mtwara wakifanya mazoezi ya kunyofoa kucha za watu mstuni
 
chama makini hakifi ila chama cha walafi lazime kifilie mbali

Urafi wa Ccm hamuuoni? Mnakunywa mpaka damu za magazeti! Tunayaka magazeti yetu pendwa!
Mwanahalisi
Mtanzania
Mwanachi
Kunyweni magazeti yenu Uhuru n.k Maana Uroho umewazidi
 
wachina ni marafiki zetu na hawataacha kushirikiana na ccm eti kwa vile tu chadema wanashirikiana na nchi za kiliberali kama vile ujeruman na demnark

Kweli nyie ni noma! Mmebinafsisha mpaka Chama kwa Machina! Bado kidogo Muuze nchi!
 
mmh huu sasa sijui tuite uhuru wa kuongea au uhuru wa kuropoka. Ni rais lakini nae ni binadam jaman sijui kama neno MWENDAWAZIMU limetumika mahala pake ustarabu ni kitu cha bure.
Ila yeye akiwaita wafanyakazi mbayuwayu,mara sijui mnafiki,mzandiki mfitini ni sawa tu sio?
Uwendawazimu unapimwa kwa mambo mengi.....
 
Kwani wewe ni nani hadi utishie watu maisha?mi nakuona kama kenge furani tu wa nchi kavu kama mjusi kafiri vile.

Kweli Watz wa Leo sio Kama wa zamani hawaogopi!
Ukombozi umekaribia!
 
Kisingizio cha ujinga huo maccm nchi sio yenu peke yenu hii

Katiba haipatikani kwa maandamano. Km wapinzani wana nia nzuri na nchi hii,watoe elimu kwa wananchi waikatae katiba kwa kuipigia kura ya HAPANA,badala ya hayo maandamano yacyo na tija kwa mtanzania.
 
Ratiba ya kamati ya bunge ya katiba na sheria haijabainisha ni lini muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba utajadiliwa na kamati hivyo mjadala wa muswada wa sheria hiyo kufa na kutorudishwa bungeni.

Tafsiri yake ni Rais Kikwete kadanganya umma katika hotuba yake ya mwisho wa mwezi kwamba swala hilo linajadilika, huku akitambua mjadala wa marekebisho hayo lazima ufanyike bungeni na ratiba ya kamati haijaweka muswada huo katika mjadala wa wadau na kamati.

Ni kwa mujibu wa mnadhimu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni Mh Tundu Lissu mara baada ya kupokesa ratiba ya shughuli za kamati ambayo imejaa zafari.

Akizungumza na waandishi wa habari ofisin kwake katika ofisi ndogo za bunge punde amesema msimamo wa vyama vya upinzani upo pale pale kuanzia tar 10 hadi kuelekea bungeni Dodoma ndio kitaeleweka hadi watanzania wapate katiba wanayoitaka.


Ndugu mleta mada,

Mimi ngoja niweke elimu ninayoelewa kuhusu mambo haya. Muswada usiposainiwa na Rais unarudishwa kwenye ofisi ya Spika ili urudi Bungeni kujadiliwa.

Mawasiliano kati ya Bunge na Ikulu ni kupitia ofisi ya Spika na si kupitia Kamati yoyote ya Bunge.

Hivyo, mtu muhimu katika suala hili ni Assembly Clerk yaani Dr. Kashilila Spika au Naibu wake na si mwanakamati yeyote wa Kamati ya Katiba au kamati yoyote ya Bunge.

Wanahabari macho na masikio yao yawe kwenye Ofisi ya Rais yaani State House na Ofisi ya Bunge, na si kwingineko.
 
Mswada kusainiwa lazima atasaini lakini katiba haitapatikana.pia katiba ya muungano haina mashiko tusubiri yetu ya tanganyika hapo patachimbika.
 
Mimi nilidhani muswada utarudishwa bungeni kupitia Kamati lakini baada ya majadiliano ya wadau. Nilifikiri kwa kuwa hotuba ya Rais ilitolewa jumatano baada ya hapo ingefuatiwa na kuwaalika wadau yaani asasi za kiraia, vyama vya siasa na makundi mengine then muswada upelekwe kwenye Kamati ya Bunge. Niseme ukweli tu binafsi nilijua leo hakuna muswada utakaopelekwa, na kwa hiyo sijafikia conclusion ya kwamba Rais amedanganya
 
Mkuu maneö hayafuti dhambi zenu,au wewe ndio kibarua wakati wa ung'oaji wa meno na kucha?mwanga wewe.
 
Ngoja tuone mwisho wa siku tutapata katiba ya aina gani. Mana busara isipotumika siku ccm wakitoka madarakani ndo kitaeleweka
 
Back
Top Bottom