Muswada wa mabadiliko ya katiba watupwa nje, Kikwete adanganya umma

Muswada wa mabadiliko ya katiba watupwa nje, Kikwete adanganya umma

Kisingizio cha ujinga huo maccm nchi sio yenu peke yenu hii
 
Tanzania ya Leo sio Kama ile yetu ya zamani!
Wanasiasa epusheni hii nchi kuingia katika machafuko!
 
Lisu naye aache bifu na JK. Kama kuna kitu anakitafuta atakipata tu

It takes two to tangle; JK naye aache kudanganya umma; Ikulu ni mahali patakatifu, eboo!
 
Kisingizio cha ujinga huo maccm nchi sio yenu peke yenu hii

Na nyie wala hamna chenu hapa. kazi kujikombakomba tu. nchi imekaa sawa muda wote kwa sababu ya ccm leo hii mnaanza kudekadeka tu! yaone kwanza
 
kucha za nini? au unafikiri humu kuna mtu anayeendesha michezo michafu kama ya bavicha na red brigade yao

uzuri waliomteka dr ulimboka na kibanda wanajulikana na hivyo unatokwa povu bure,ni mtanzania wa kijiji gani asiyejua uhusika wa ccm ktk kutesa na kuua raia ikishirikiana na vyombo vyake?
 
uzuri waliomteka dr ulimboka na kibanda wanajulikana na hivyo unatokwa povu bure,ni mtanzania wa kijiji gani asiyejua uhusika wa ccm ktk kutesa na kuua raia ikishirikiana na vyombo vyake?

we acha kujipendekeza bana. yaani ccm itese watu wake kwa lipi? chadema ndo huwa wana michezo michafu ya aina hiyo
 
na safari hii hao viongozi ni lokapu tu hadi 2017,

Mkuu na huku Kumbe tunapingana tu? Duh Mwana wane Uko upande wa Ccm?!

Mngekua na uwezo wa kuwafumga Mngekua mmeshamfunga ata Kamanda mmoja mbona wana makesi kibao Na wanashinda! Sasa mtawafunga kwa lipi tena?
 
Maccm ya Lumumba yamealikana yaje kuchangia hii thread maana yameamua...

Nawaomba tu yasije kutung'oa kucha na meno manake wao hawanaga hoja yakiona yanapinga wao wanapanga kutesa na kuua watu wasio kuwa na hatia.
 
Jengni hoja jamani matusi sio ishu, ndio man tunasema CCM wachovu mana hamtaki kujenga hoja bali kyukana tuu humu, jaribuni kuwa wastarabu basi hata kama viongozi wenu wabovu basi jenegeni hoja sio matusi na kuropoka ovyo, hahahah Lumumba kazi yenu kubwa kweli
 
Maccm ya Lumumba yamealikana yaje kuchangia hii thread maana yameamua...

Nawaomba tu yasije kutung'oa kucha na meno manake wao hawanaga hoja yakiona yanapinga wao wanapanga kutesa na kuua watu wasio kuwa na hatia.

Hizo ndio njia wanazofanyiwa mateka wa kivita! Yani Utatoa Siri zote!
Unang'olewa bila ganzi maumivu yake lazima upoteze fahamu au kila kitu lazima useme Yes!
 
JK ni rais muhoga sana,anakiogopa chama chake na cha pili JK ndiye mnafiki maana wewe kama rais uwezi toa hotuba na kutamka zaidi ya mara tisa kuwa NIMEAMBIWA NIMEJULISHWA NIMEFAHAMISHWA,sasa kama unakubali kufahamishwa tu bila kusikiliza upande wa pili?huu ni udhaifu mukbwa sana
 
Wachina wako wapi kuja kuwasaidia Ccm?
 
Back
Top Bottom