Odero Charles Oderos
Member
- Apr 25, 2016
- 19
- 23
Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa (KKMK) tumeandaa Rasimu ya Muswada wa Mfano (Model Bill) wa Sheria ya kuongoza Mchakato wa Maridhiano nchini.Lengo la Muswada huu wa Mfano ni kushawishi Serikali na wadau wote kuona umuhimu wa kuwa na Sheria itakayoongoza Mchakato wa Maridhioano nchini.Kwa Unyenyekevu ninaleta kwenu Rasimu hiyo kwa mjadala na kutoa maoni ili kufanyia maboresho.
ODERO CHARLES ODERO
MWENYEKITI -KAMATI YA KUSUKUMA MARIDHIANO YA KITAIFA (KKMK)
MBELE KUNA MWANGA
ODERO CHARLES ODERO
MWENYEKITI -KAMATI YA KUSUKUMA MARIDHIANO YA KITAIFA (KKMK)
MBELE KUNA MWANGA