Muswada wa mfano (Model Bill) wa sheria ya kuongoza mchakato wa maridhiano

Joined
Apr 25, 2016
Posts
19
Reaction score
23
Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa (KKMK) tumeandaa Rasimu ya Muswada wa Mfano (Model Bill) wa Sheria ya kuongoza Mchakato wa Maridhiano nchini.Lengo la Muswada huu wa Mfano ni kushawishi Serikali na wadau wote kuona umuhimu wa kuwa na Sheria itakayoongoza Mchakato wa Maridhioano nchini.Kwa Unyenyekevu ninaleta kwenu Rasimu hiyo kwa mjadala na kutoa maoni ili kufanyia maboresho.

ODERO CHARLES ODERO

MWENYEKITI -KAMATI YA KUSUKUMA MARIDHIANO YA KITAIFA (KKMK)

MBELE KUNA MWANGA
 

Attachments

No one should trust you. You’re a saboteur!
 
You are pity,wajaluo kazi yenu kubwa kulamba matako,na ushirikina
 
Hiyo Kamati inapatikana vipi??!
Nisaidie nipate upenyo wa kuanzia..
 
1.Maridhiano Maana yake nini?
2. Nini kiligokea hadi yafanyike Mardhiano?
3. Je Kuna upande bao umeomba radhi kwa Mabaya uliyoyafanya.
4. Umemuomba Radhi nani au utamuomba radhi nani?
5. Je alieombwa radhi atakubali?

"Msikubali kwenda kwenye Maridhiano baada ya uchaguzi, Hayatakuwa Maridhiano badaya yake yatakuwa Maigizo"
Hamphrey polepole.
 
Unatafuta kiki za kijinga sana. Ni kuhakikishie hila zako hazitafanikiwa
 
You beta watch your back, this is Mambaz 24
 
Wazo zuri,
Hakuna namna tutasonga mbele bila kuridhiana.

Hata wanaCHADEMA wanahitaji mwenyekiti wao aachiwe ili wajadili kuhusu maridhiano.
 
Wewe ni PUNDA mbeba mizigo. Unatumiwa kama kondomu kuhalalisha ushetani wa CCM na serikali yake ya kigaidi at the expense of the public. Mbwa kasoro mkia!
 
Odero karidhiane na mamako na hao wanaokutuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…