GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mchezaji huwezi kuwa Mfupi kama Mutale halafu hapo hapo Umenenepa hovyo na una Kichwa Kikubwa ukawa mzuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Daaa kiongozi umenichekesha aiseeMchezaji huwezi kuwa Mfupi kama Mutale halafu hapo hapo Umenenepa hovyo na una Kichwa Kikubwa ukawa mzuri.
Kwanini Kiongozi?😂😂😂Daaa kiongozi umenichekesha aisee
Mimi nasema asitoke yoyote kati ya hao...😊😊😊😊Mimi naona Steven Mukwala ndiyo angetolewa kwenye kikosi. Maana impact yake kwenye timu ni ndogo sana ukimlinganishana Joshua Mutale. Aliaminiwa na mwalimu kwenye zile mechi za awali, ila mwisho wa siku alimuangusha! Na hivyo Atteba akasajiliwa. Na mpaka muda huu amekuwa akisugua tu benchi.
NB: hapa nimeandika kama mdau wa michezo. Kwa hiyo naomba mtani wangu GENTAMYCINE tuwe pamoja katika hili. 🤝
Hakuna namna. Mchezaji mmoja lazima atolewe sadaka ili Eli Mpanzu aingie kundini. Au unataka atoke Ngoma mliyemteka uwanja wa ndege!!Mimi nasema asitoke yoyote kati ya hao...😊😊😊😊
Sasa hao hawawezi kutoka kwa sasa muwavumilie sana tuu...atatoka Lakred...Hakuna namna. Mchezaji mmoja lazima atolewe sadaka ili Eli Mpanzu aingie kundini. Au unataka atoke Ngoma mliyemteka uwanja wa ndege!!
Si mmesema ana miaka 22 yule...Hamumtaki tena?Mchezaji huwezi kuwa Mfupi kama Mutale halafu hapo hapo Umenenepa hovyo na una Kichwa Kikubwa ukawa mzuri.
Nafasi ya Lakred imesachukuliwa na mshambuliaji wenu Atteba.Sasa hao hawawezi kutoka kwa sasa muwavumilie sana tuu...atatoka Lakred...
Duh ayubu hinjo aachwe kweli?Sasa hao hawawezi kutoka kwa sasa muwavumilie sana tuu...atatoka Lakred...
Ila takwimu za Panzi mbona kina Mwaduke hawajazitoa!!?Mchezaji huwezi kuwa Mfupi kama Mutale halafu hapo hapo Umenenepa hovyo na una Kichwa Kikubwa ukawa mzuri.
Una nikumbusha Yanga walikuwa na wachezaji mapande ya watuMchezaji huwezi kuwa Mfupi kama Mutale halafu hapo hapo Umenenepa hovyo na una Kichwa Kikubwa ukawa mzuri.
Ongezea YIKPEUna nikumbusha Yanga walikuwa na wachezaji mapande ya watu
Sapong huyu kipaji chake nadhani kama sio bondia basi mchezo kama huo wrestling
Pia kuna huyu Mh. Mwape kutoka Zambia