Mutale akiachwa Simba SC ili Mpanzu aingie nitakuwa ni mwenye Furaha kubwa ila kwa aliyemsajili Mutale Simba SC atuombe Radhi upesi

Mutale akiachwa Simba SC ili Mpanzu aingie nitakuwa ni mwenye Furaha kubwa ila kwa aliyemsajili Mutale Simba SC atuombe Radhi upesi

Mchezaji huwezi kuwa Mfupi kama Mutale halafu hapo hapo Umenenepa hovyo na una Kichwa Kikubwa ukawa mzuri.
Hata kama hampendi ,siyovizuri kumdhihaki mwacheni kwa amani hata huyo mpanzu anaweza akawa kituko kama mutale na kuanza kupiga ramli la kuwasingizia yanga wamemloga.
 
Mchezaji huwezi kuwa Mfupi kama Mutale halafu hapo hapo Umenenepa hovyo na una Kichwa Kikubwa ukawa mzuri.
Apewe muda unajua labda ukubwa wa Simba umempa pressure Ila akipewa muda anaweza fanya makubwa.

🤣🤣🤣🤣
 
Mchezaji huwezi kuwa Mfupi kama Mutale halafu hapo hapo Umenenepa hovyo na una Kichwa Kikubwa ukawa mzuri.
Wewe ni mvurugaji wa club. Umezidi lawama zisizo na kichwa wala miguu. Hufai kuwa shabiki wa timu yoyote bongo. Ushauri wa bure. Anzisha club yako, kisha usajili malaika wachezaji, hao ndio hawana mapungufu.
 
Watu kama hawa ndio wanatoa mawazo ya kuivuruga club ya Simba,hao wakina Azizil ki wamevumiliwa ndio maana unaona matokeo..mchezaji bado hata ajajua ofisi za Simba..eti mtoe acheni hizo..we mbona unavumiliwa kwenye matayizo yako kibao..mnaitengenezea Club ya Simba image mbaya kwa ushauri wenu papara itafika mahali mchezaji akisikia anatakiwa na Simba anaikwepwa kwasababu ya fukuza fukuza

Haepuka sana kujiona upo perfect kwa kumdhihaki mwenzako,unamdescribe negative ni ishara ya dharau na kiburi cha uzima
 
Usajili wa Makolo kimataifa huwa ni wa kuungaunga sababu ya ubahili wa Mudi kuchukua free agent au wachezaji wa bei ndogo, kuanzia kina Sawadogo, Babacar Sarr, Pa Omary Jobe na sasa Mutale na Mukwala
Nyuma mwiko umesahau kuhusu Chiko Ushindi wenu unakuja kuongelea ya msimbazi
 
Back
Top Bottom