Tetesi: MutliChoice yamteua Mwangaza Mollel kuwa Mkurugenzi mpya Maisha Magic Bongo, DSTV

Haujawahi leta pumba na hata kama uliwahi basi zilikuwa kidogo sana!
 
Ila Mjukuu Kwa habari exclusive, nimekuvulia kofia umeweza kupata hadi certificate ya uteuzi wake 🙌

Pia, hongera nyingi kwa bibie Kwa uteuzi, ila mwambie wakati mwingine asiikaribie Camera kiasi hicho akiwa anapiga selfie.
Babu, mimi mjukuu wako napenda sana habari, sana.
Mungu ni mwema akanibariki kwa chanzo matata basi moyo wangu kwatu.

Babu uchokozi wako mie simo, Mkurugenzi huyo ujue?
 
Nakumbuka ulileta kisa cha huyo Mkurugenzi aliyepita na sarakasi alizokuwa anafanya kwenye hizo Tamthilia,
ila naimani huyu wa sasaivi ameshajua kichwa cha nyoka kikwapi kwahiyo kazi kwake tu.
Mkurugenzi aliyepita alikuwa na madudu mengi sana, baada ya mimi kuanika hapa machache akawa anamtuhumu Isike kuwa ndiye anayenipa taarifa. Yeye na shoga yake Lamata.
 
Babu, mimi mjukuu wako napenda sana habari, sana.
Mungu ni mwema akanibariki kwa chanzo matata basi moyo wangu kwatu.

Babu uchokozi wako mie simo, Mkurugenzi huyo ujue?
Hongera sana Mjukuu, kusema kweli unanikosha sana nafsi Kwa hizo habari zako exclusively 🙌

Kusema kweli huyo Mkurugenzi aombee awe na shape shape walau kufanya Wazee wawe wanageuka akipita, but Mapokezi naona bado sana
 
Mwangaza ni kichwa, hayo mengine sio shida zake Babu.
 
Hivi ndiyo ulisema bado hajapata Mume eeh?

Nina rafiki yangu Mzee Juma tulistaafu naye Utumishi Mwaka 1992, alisema anataka kuongeza Mke wa pili akipata pension yake Mwezi Ujao🤗
 
Babu jamani, mstaafu wa mwaka 92 si kesi hiyo?
 
Hataki kujifunza Kwa Mzee mwenzie hapa, Mimi tangu nimestaafu nilichagua kuoga Maji ya moto tu wakati wa baridi badala ya kwenda kutafuta dogodogo 😜

Mambo ya kufia kwenye nanii unadhani ni mazuri 🤗
 
Umri huo ni wa kurudi kwa Mungu Babu. Muislam ni kutafuta mswala ulipo na Mkristo ni kujirudi kanisani. 😀
 
Hakika Mjukuu, ndiyo maana Wazee wenzie tuliamua kutulia tu 🤗
 
Amefanana na Mbilia Bel
 
Mwangaza amekuwa na bahati na mkono wako au CV yake imeshiba tu? Maana amepokea sifa lukuki kwenye thread hii.

Anyways, asante kwa taarifa pamoja na kutupa nafasi ya kumjua kiundani boss mpya. Uandishi wako ni wa viwango. Keep it up b...

Ova
 
Ila wewe mchokozi? Bahati gani jamani b…? CV yake inajieleza, anastahili.

Thank you b…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…