Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah,wamefikwa make hiyo kimtim nilikuwa sielewi hataNgoja tuone, alishapata kamserereko kipindi chake wala hakistahili hadhi kilichopewa huko DSTV.
Naomba nieleweshe uhusiano wa Kitimtim na huyo Boss anayeondokaAaah,wamefikwa make hiyo kimtim nilikuwa sielewi hata
Asante kwa ubuyu exclusive baby nifah
Na leo ameteuliwa mtoto wa Ritha Paulsen kushika nafasi hiyo hiyo. Imekuwaje huyu katumbuliwa au?Kama mnakumbuka vyema, Novemba ya mwaka jana niliwaletea hapa taarifa kuhusiana na aliyekuwa Mkurugenzi wa vipindi Maisha Magic Bongo, Barbara Kambogi kusimamishwa kazi kwa tuhuma zilizowasilishwa makao makuu ya DSTV Afrika ya Kusini na mtayarishaji wa tamthilia za Kiswahili Bwana Isike Samwel.
Baada ya tuhuma hizo zenye ushahidi usio na shaka, DSTV walimsimamisha kazi Barbara Kambogi na msaidizi wake kupisha uchunguzi na hivi sasa umefanyika uteuzi wa Mkurugenzi mpya, Bibie Mwangaza Mollel.
CV yake huko DSTV imeshiba kwelikweli!
Kwa taarifa za kiutendaji imefahamika kwamba uteuzi huu ni makini. Mwangaza amefanya kazi DSTV kwa kipindi kisichopungua miaka 10!
Alianza kufanya kazi kitengo cha huduma kwa wateja kuanzia mwaka 2014 alikohudumu kwa miaka 7, kisha akahamishiwa kitengo cha masoko na baadaye akawa mwendeshaji wa ofisi ya DSTV hadi alipoukwaa Ukurugenzi wa kitengo cha tamthilia za Kiswahili hivi karibuni.
Ni mchapakazi hodari!
Mwangaza anafahamika kwa uchapaji kazi wake usio na mashaka. Hilo linadhihirika kwa tuzo aliyopokea mwaka juzi kwenye kitengo hichohicho cha tamthilia za Kiswahili.
View attachment 3020108
Hongera Mwangaza, matumaini yetu tulio wengi ni juu yako kuona ukifanya tofauti na wenzio Barbara pamoja na msaidizi wake waliogeuka Miungu watu katika kitengo hichohicho ulichoteuliwa.
Kila la kheri
Mwangaza Evarest Mollel pichani…
View attachment 3020112
Hii ni taarifa mpya, DSTV watatangaza kuhusu uteuzi huo hivi karibuni.
Chanzo changu nyeti, nami ndiye
Nifah.
Sasa yule mkurugenzi amesepea wapi?Mkuu nimecheka sana. Mkurugenzi aliyepita alikuwa na 'percent' yake kwenye hizo tamthilia ndio maana zimegeuka Isidingo.
Barbara alifanya mengi ya hovyo, alivuka hadi mipaka kwa kuuza haki za tamthilia za Kiswahili kwa Wakenya ambao ndio waandaaji wa tamthilia mpya ya Jiya.