Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakulu huyu ndio Mbunge mtarajiwa jimbo la mtera na waziri wa Teknolojia mtarajiwa Mutuz Le Baharia Big Show @ NEW YORk Currently @ Dodoma,Bongo!![]()
huyu wazazi wake wote watakuwa watu wa Rwanda ama Congo, there's no way akawa mtanzania huyu
Ooh! Mwambie aje mpwapwa kunisalimia.
huku EL kule Le Mutuz hii ndio JF bwana promo mwanzo mwenga..
ndo hapo ninaposhanga!
Yaani leo watu wa JF ndo wanajua kuwa wakazi wa Dom wanamhitaji nani,
to hell with Mutuz na makampeina wake!
Kuhusu Lowasa sidhani, tunahitaji rais kutoka CDM (yeyote) kwani tatizo la inji yetu ni la kimfumo zaidi kuliko mapungufu ya mtu mmoja mmoja.
Tanganyika hii hata Rais awe Marehemu Muammar Al-Qaddafi, kwa tiketi ya lichama DUBWANA la kijani, hatoboi.