Mutuz Le Baharia Big Show @ Dodoma,Bongo!

Mutuz Le Baharia Big Show @ Dodoma,Bongo!

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,720
316444_2385989848381_1209820481_32959751_2885080_n.jpg
Wakulu huyu ndio Mbunge mtarajiwa jimbo la mtera na waziri wa Teknolojia mtarajiwa Mutuz Le Baharia Big Show @ NEW YORk Currently @ Dodoma,Bongo!
 
wii.jpg

Tunahitaji vijana kama hawa watakaoidfanya tanzania paradiso.......
 
Taarifa za kiitelejensia zinaonyesha ni kichwa sana huyu bwana . Tunataka vijana kama hawa .
 
Yo Yo acha kumwanika mtarajiwa hivyo wakora watajipanga halafu wamchakachue kwenye kura za maoni halafu tuendelee kuwa na kibajaji.
 
316444_2385989848381_1209820481_32959751_2885080_n.jpg
Wakulu huyu ndio Mbunge mtarajiwa jimbo la mtera na waziri wa Teknolojia mtarajiwa Mutuz Le Baharia Big Show @ NEW YORk Currently @ Dodoma,Bongo!

Ni mcheshi na mpenda watu wote hana ubaguzi,Mungu akutanguie Mutuz Le Baharia.
 
huyu wazazi wake wote watakuwa watu wa Rwanda ama Congo, there's no way akawa mtanzania huyu
 
huku EL kule Le Mutuz hii ndio JF bwana promo mwanzo mwenga..

ndo hapo ninaposhanga!
Yaani leo watu wa JF ndo wanajua kuwa wakazi wa Dom wanamhitaji nani,
to hell with Mutuz na makampeina wake!
Kuhusu Lowasa sidhani, tunahitaji rais kutoka CDM (yeyote) kwani tatizo la inji yetu ni la kimfumo zaidi kuliko mapungufu ya mtu mmoja mmoja.
Tanganyika hii hata Rais awe Marehemu Muammar Al-Qaddafi, kwa tiketi ya lichama DUBWANA la kijani, hatoboi.
 
jamani Yo Yo, majani huyawezi kumbe, nisilete mambo ya mido skul kwenye kizazi kipya.
 
Hii promo inayopigwa hapa ni kali! Mtu anasifiwa kama marehemu? kama anataka kuwasaidia watu wa mtera(jambo ambalo baba yake alishindwa kwa miaka 30) si awasidie sasa hivi? kwani lazime awe mbunge ndio atoe huo msaada wake? au anataka Return on Investment(RIO)?
 
ndo hapo ninaposhanga!
Yaani leo watu wa JF ndo wanajua kuwa wakazi wa Dom wanamhitaji nani,
to hell with Mutuz na makampeina wake!
Kuhusu Lowasa sidhani, tunahitaji rais kutoka CDM (yeyote) kwani tatizo la inji yetu ni la kimfumo zaidi kuliko mapungufu ya mtu mmoja mmoja.
Tanganyika hii hata Rais awe Marehemu Muammar Al-Qaddafi, kwa tiketi ya lichama DUBWANA la kijani, hatoboi.

Mkuu Mphamvu,

Nchi hii hata angepewa Marehemu Hittler au Sadam....Kwa hilo dubwasha la kijani bado wange-stack
 
huyu jamaa amekuja bongo mda c mrefu
ye anajikaliaga new york huko kama co hadithi ivi nyie wenzentu mmemjuaje kighafla ivyo !
Kweli mkono mtupu haulambwi !
Sasa ana lipi la kufanya mambo yawe kama paradiso !
Acheni upambe ni nuksi !
 
Baharia toka dodoma?huyu ata ujumbe wa nyumba 5 5 afai,bora arudi tu Huko USA akabebe mabox .jinsi anavyotukuza uzungu ni bora tu nayeye abadili pua kama Wako Jako
 
Back
Top Bottom