R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,815 Reaction score 103,955 Oct 20, 2026 #1 Huyu ndiye mtu CCM imemuona ni shujaa wa KUUA na hivyo kustahili kupanda cheo kwa utumishi bora wa kupoteza watu na polisi wasiwatafute Attachments IMG-20261020-WA0004.jpg 85.7 KB · Views: 6
Huyu ndiye mtu CCM imemuona ni shujaa wa KUUA na hivyo kustahili kupanda cheo kwa utumishi bora wa kupoteza watu na polisi wasiwatafute
ellyp Member Joined Apr 12, 2015 Posts 81 Reaction score 269 Oct 20, 2026 #2 Ataishi milele? Hawa wanachama wa mboga mboga wanatakiwa wajifunze kitu kwenye yaliyomtokea bwana slow slow, hakuna alie salama muda ukifika hadi mawe yakukataa hayataki kuwa upande wako.
Ataishi milele? Hawa wanachama wa mboga mboga wanatakiwa wajifunze kitu kwenye yaliyomtokea bwana slow slow, hakuna alie salama muda ukifika hadi mawe yakukataa hayataki kuwa upande wako.
darubin ya mbao JF-Expert Member Joined Aug 3, 2016 Posts 2,863 Reaction score 6,041 Oct 20, 2026 #3 Kuna yule mwingine alisema watatumia sindano za sumu nae akale teuzi Ilikua kipindi Cha uchaguzi wa 2020
Kuna yule mwingine alisema watatumia sindano za sumu nae akale teuzi Ilikua kipindi Cha uchaguzi wa 2020
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,405 Reaction score 138,158 Oct 20, 2026 #4 Anaishi dunia ya wapi mpaka anakuwa na ujasiri wa kutishia hadharani na pia kudhuru wengine?