Muuaji anayetumia pikipiki akamatwa na polisi maeneo ya Tabata Dar es salaam

Muuaji anayetumia pikipiki akamatwa na polisi maeneo ya Tabata Dar es salaam

BREAKING NEWS: MTUHUMIWA WA MAUAJI YA
PADRI EVALIST MUSHI AKAMATWA ZANZIBAR
Jeshi la polis linamshikilia Omari Musa Mkame Mkazi
wa Mwanakwerekwe Zanziba anaye sadikiwa kuwa ni
muuaji wa padre Evalist Mushi. Amekamatwa alasiri hii
maeneo ya Kariakoo, Zanzibar.
Ni kwa msaada wa mchoro wa mfano wa muhusika
ulioachorwa na FBI.
 
wana uhakika gani kama ni yeye? nakosaga sana imani na hawa polisi
 
Acha akamatwe kafiri mkubwa huyo. Na aminywe sehemu nyeti mpaka afe shetani mkubwa huyo.
 
jamani hivi hao FBI walichoraje mchoro wa mtu wasiye mfahamu? na kama wanamfahamu wapi walimwona?
 
kuna tofauti kubwa ya uelewa.hivi mijitu mingine kutoa source eti anataka kujifanya ni siriii wkt nae kaambiwa
 
weka chanzo cha habari yako tafadhali, vinginevyo Misa ya ijumaa kuu ilikuwa nzuri sana, nilishiriki ktk kanisa Mt. Mathias Kalemba, Jimbo Katoliki la Songea.
 
jamani hivi hao FBI walichoraje mchoro wa mtu wasiye mfahamu? na kama wanamfahamu wapi walimwona?

Walitumia macho..Huwa kwenye macho ya marehemu inabaki picha ya tukio la mwisho kabla hajafa

Sipendi kukukosoa lakini hapa kuna walakini aisee. Nadhani umempotosha unless unipe source ya hayo madai yako.

Huo mchoro ni sketch/facial composite. Nchi zilizoendelea hasa Marekani, law enforcement agencies huwa wanatumia sana sketch artists katika kupata taswira ya mhalifu. Hawa artists hutumia taarifa za ushahidi kutoka kwa mashuhuda wowote wale na si kutoka kwenye macho ya mhanga.

Hiyo ya macho ya mhanga nimewahi kuisikia kwa watu tu lakini mpaka sasa sijawahi kuisikia kutoka kwa wataalam wa mambo ya crime investigation (niko radhi unipe source - kama unazo-ili nami nijifunze jipya kuhusiana na hilo).

Na ingekuwa kweli wanatumia macho ya mhanga basi mbona suspects wengi sana wa cold murders wangekuwa wanajulikana?

Anyway, jaribu kupitia hapa na hapa ujifunze zaidi kuhusiana na police sketches.
 
Back
Top Bottom