upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,078
- 4,504
Kuku ukinchinja damu inaruka mnooo...sembuse binadamu!!?? Halafu tena alikuwa anakunywa uji...possibly alikuwa kwenye kochi!!(kama kweli)..huo usafi Wa kusafisha hiyo damu na kuondoa harufu ya damu hata ukiwaita cleaners Wa manispaa Kwa siku moja hawawezi
Kwahiyo mtuhumiwa alikuwa na shida ya 5m tu, zile pesa alizokutwa nazo marehem kwenye gari pamoja na simu, laptop hakuwa na shida nazo?
RIP Marehemu, lakini pia kitendo cha jeshi la POLISI kulivuta gari mpaka kituo cha POLISI kabla ya kulifanyia ukaguzi wa kina mpaka ndani ya buti la gari ni hatari kubwa.
Maana katika zamana hizi POLISI wanaweza kupeleka bomu likalipuka ndani ya kituo cha POLISI.