upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,078
- 4,504
Aliuwawa nyumbani akiwa anakunywa uji na kuwekwa kwenye buti.
Mwili ulikutwa kwenye buti akiwa na simu mbili Sony na Panasonic,laptop aina ya Asus na kadi za bank tofauti.
Hawa mabosi wa polisi kutoa maelezo yasiyoacha maswali mengi zaidi ya majibu walishashindwa kabisa.