Muuaji wa Kilifi Paul Mackenzie, ni vigumu kumtia hatiani vinginevyo dini zote zifutwa

huo ndo ukwel mkuu , poor reason kwa waafrika
Yees mkuu. Umenistua kabisa na tungekuwa tunafikiri hata kidogo saa hizi MADALALI wa Dini za kuletewa. Wangekuwa wanahaha kujua watafanya nini. Inawezekana tuletewataarifa sahihi kwamba Mungu Yupo. Ila mengine yote na hayo maibada na mbwembwe zote ni tricks za upigaji.
 
kabisa hiz iman zimekaa kimchongo sana , wengi wetu washakuwa mateka na kuwaokoa inahitaj utuliv na muda ili waelewe wakiwa wanaona , vijana wetu wanakufa wakipigania dini za wageni huku tamaduni zetu tukiziita uchawi
 
Cult leaders are on loose again, [emoji2322][emoji2322][emoji2322]wako busy kutafuta Miujiza Lakini hawasomi neno [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Haya mambo yapo toka mwaka 1979, Johnstone massacre, more than 1000 were killed by mass suicide,a cult leader called Jimmy John's kutoka USA,alianzisha kanisa aliloliita people's Temple.
 
Ukristo ufutwe tu ibaki dini moja ya haki Uislamu tu
Anza wewe kuufuta, kwahiyo Boko Haram,kubaka wanafunzi ndiyo uislam? Yule Afande shemale ndiyo kioo cha uislam? Hao waganga wa kienyeji mjini dar wanaojiita masheikh ndiyo uwakilishi wa uislam?
Kule Sudani wale Janjaweed wanaowaua black Muslim sababu ya rangi ndiyo uislam? Vipi kule Yemen wale wahuni wa kiimani kuna wakristo kule?
Ukiamua kuitumia akili yako nusu out of multiple intelligence you have,ni lazima uwe na harufu ya chuki binafsi kiasi hicho [emoji24][emoji24][emoji24] go back to school kuna kitu kina miss kwenye medula oblangata yako.
Hao wana utofauti gani na wale wafia dini wavaa mabomu wakapate free 72 virgin women in Paradise?
 
View attachment 2598986
_oD26GY58eQR92NDz5jdMvcPJaBJWKFlgse3jcT7TIXNxspUjECwbH7vaLGTVQjKMaQYfARsj99kvAdObUGnUc72MPYs6PBpKJtnzhY=s750

Japo nalaani mauaji ya kinyama yaliyofanyika huko Kilifi Kenya, nina wasiwasi kama sheria zetu za kiingereza zinaweza kumtia hatiani.

Zifuatazo ni sababu nuzuhu za kisheria:

Mosi, si rahisi kuthibitisha kuwa Mackenzie aliwashawishi wahanga kutokula. Na kama aliwashawishi, si kosa kumshawishi mtu kufanya kitu anachoamini binafsi kina tija. Dini zote zinaendeshwa kwa ushawishi. Ndiyo maana zimeruhusiwa kufanya uhuni wote bila kufungiwa, kuchunguzwa wala kushitakiwa. Wahusika waliamua kwa hiari yao wakiwa na akili timamu kufunga hadi kufa wakiamini walichoambiwa yaani pepo au kukutana na Bwana.

Pili, Hakuna namna waendesha mashtaka watathibitisha mashtaka yao bila wahanga kuwapo ili watoe ushahidi. Kama Mackenzie hakuwapa sumu au kuwaua kwa kuwanyonga au kwa namna nyingine zaidi ya kuwaaminisha, hana hatia hata kidogo. Rejea wanaoahidi kutenda miujiza ya kuondoa watu kwenye umaskini na kuishia kuwaibia na kuwafanya maskini na watumwa zaidi. Hata wahanga wakifufuliwa, hawawezi kuthibitisha kuwa walilazimishwa kufunga wakijua walichokuwa wakifanya na matokeo yake.

Tatu, sheria za kiingereza zinamtaka anayedai kuthibitisha madai yake. Si rahisi washitaki kuthibitisha kuwa Mackenzie aliwarubuni zaidi ya kuwahubiri nao kwa hiari yao , wakiwa watu wazima wakaamini na kutekeleza.

Nne hata akifunguliwa kwa makosa ya kuua watoto, hawampati kwa vile halikuwa jukumu lake kisheria kuangalia wale watoto zaidi ya wazazi wao. Rejea mnavyobatiza au kuingiza watoto wadogo kwenye dini zenu.

Mwisho, kwa vile dini zote zinatumia mfumo ule ule, kumpata Mackenzie na hatia, ima bunge litunge sheria mpya ambayo nayo itagonga mwamba kwa vile itakuwa illegal tokana kuwa retrospective au wafute dini kwanza ndipo mhusika ashikiwe.

Hata hivyo, itakuwa vigumu kumfunga vinginevyo wamuonee. Akipatikana na hatia si ya mauji bali uzembe au kuficha vifo na vitu kama hivyo ambavyo navyo kisheria, kama atapata wanasheria mahiri anaweza kushida.

Akifungwa, basi iwe ni kama kwenye kesi ya Mwamwindi baada ya kumuua Dk Kleruu.

Somo kubwa hapa ni kwamba tunaendeshwa na mifumo mibovu ya dhuluma
Father of All

Lakini kumbuka alikuwa ndiyo muongozaji mkuu na alikuwa na uwezo wa kuwaamuru wawe na kiasi yeye ndiyo alikuwa msemaji wa mwisho kwa hiyo halaiki. Je, alifanya hivyo? Mwanadamu asipokula muda gani anakufa? Na pia alishafungiwa kuendesha huduma na kwa nini apeleke sehemu ambayo mtu hawezi kufika kirahisi ni huduma ambayo ilikuwa inaendeshwa kwa kificho mkuu.

Lakini pia watu wasiwe makahaba wa Imani kwa kutaka miujiza ya haraka.
 
Mtoa mada acha kuuma uuma maneno huyo mbuzi sijui mchungaji anatakiwa kukatwa viungo vyake kimoja kimoja hadharani ,tusipepese maneno

Huyo ni muuaji kama wauwaji wengine
 
kuna mazuzu mengine huku yanakanyagishwa mawese yakiamini eti yatapata pesa, yaani miafrika inaakili mbovu sana, ndiomaana Kagame aliamua kila vijikanisa visajiliwe na watu wanaovihudumia wawe wamesoma tena kiwango cha degree ili ukileta mauzauza kama ya huyo onyango akushughulikie kisawasawa, majitu yamekosa ufahamu sikuhizi hayana aibu kabisaaaa, yanadanganywa kila siku na yanaendelea kuwa mazwazwa tu , kuna lile la uganda miaka ya nyuma liliwatia moto kabisa lakini wapiiii yanaenda tu kama manyumbu.
 
View attachment 2598986
_oD26GY58eQR92NDz5jdMvcPJaBJWKFlgse3jcT7TIXNxspUjECwbH7vaLGTVQjKMaQYfARsj99kvAdObUGnUc72MPYs6PBpKJtnzhY=s750

Japo nalaani mauaji ya kinyama yaliyofanyika huko Kilifi Kenya, nina wasiwasi kama sheria zetu za kiingereza zinaweza kumtia hatiani.

Zifuatazo ni sababu nuzuhu za kisheria:

Mosi, si rahisi kuthibitisha kuwa Mackenzie aliwashawishi wahanga kutokula. Na kama aliwashawishi, si kosa kumshawishi mtu kufanya kitu anachoamini binafsi kina tija. Dini zote zinaendeshwa kwa ushawishi. Ndiyo maana zimeruhusiwa kufanya uhuni wote bila kufungiwa, kuchunguzwa wala kushitakiwa. Wahusika waliamua kwa hiari yao wakiwa na akili timamu kufunga hadi kufa wakiamini walichoambiwa yaani pepo au kukutana na Bwana.

Pili, Hakuna namna waendesha mashtaka watathibitisha mashtaka yao bila wahanga kuwapo ili watoe ushahidi. Kama Mackenzie hakuwapa sumu au kuwaua kwa kuwanyonga au kwa namna nyingine zaidi ya kuwaaminisha, hana hatia hata kidogo. Rejea wanaoahidi kutenda miujiza ya kuondoa watu kwenye umaskini na kuishia kuwaibia na kuwafanya maskini na watumwa zaidi. Hata wahanga wakifufuliwa, hawawezi kuthibitisha kuwa walilazimishwa kufunga wakijua walichokuwa wakifanya na matokeo yake.

Tatu, sheria za kiingereza zinamtaka anayedai kuthibitisha madai yake. Si rahisi washitaki kuthibitisha kuwa Mackenzie aliwarubuni zaidi ya kuwahubiri nao kwa hiari yao , wakiwa watu wazima wakaamini na kutekeleza.

Nne hata akifunguliwa kwa makosa ya kuua watoto, hawampati kwa vile halikuwa jukumu lake kisheria kuangalia wale watoto zaidi ya wazazi wao. Rejea mnavyobatiza au kuingiza watoto wadogo kwenye dini zenu.

Mwisho, kwa vile dini zote zinatumia mfumo ule ule, kumpata Mackenzie na hatia, ima bunge litunge sheria mpya ambayo nayo itagonga mwamba kwa vile itakuwa illegal tokana kuwa retrospective au wafute dini kwanza ndipo mhusika ashikiwe.

Hata hivyo, itakuwa vigumu kumfunga vinginevyo wamuonee. Akipatikana na hatia si ya mauji bali uzembe au kuficha vifo na vitu kama hivyo ambavyo navyo kisheria, kama atapata wanasheria mahiri anaweza kushida.

Akifungwa, basi iwe ni kama kwenye kesi ya Mwamwindi baada ya kumuua Dk Kleruu.

Somo kubwa hapa ni kwamba tunaendeshwa na mifumo mibovu ya dhuluma
Mimi nitakunyonga kwa vile najua fika kuwa ulijua unawadanganya maana hukuwasiliana na yesu kuwa walete wafunge wafe and then waje kwangu. Utupe ushahidi kuwa uliwasiliana na yesu akasema walete , wafunge mwisho waje kwangu. Ulitumia udanganyifu ukijua fika kuwa kutokula mwisho wake ni kufa. Nitakufunga/nitakunyonga.
 
Hizi dini zinawatia watu ujinga tu
Wampe ☆☆u tu hyo mchungaji
Akatike taratbu,wamuachie tu

Ova
 
Ila kuna watu ni mazwazwa. Hivi mtu aanze kukushauri usile na jitu linakubari kweli?
 
View attachment 2598986
_oD26GY58eQR92NDz5jdMvcPJaBJWKFlgse3jcT7TIXNxspUjECwbH7vaLGTVQjKMaQYfARsj99kvAdObUGnUc72MPYs6PBpKJtnzhY=s750

Japo nalaani mauaji ya kinyama yaliyofanyika huko Kilifi Kenya, nina wasiwasi kama sheria zetu za kiingereza zinaweza kumtia hatiani.

Zifuatazo ni sababu nuzuhu za kisheria:

Mosi, si rahisi kuthibitisha kuwa Mackenzie aliwashawishi wahanga kutokula. Na kama aliwashawishi, si kosa kumshawishi mtu kufanya kitu anachoamini binafsi kina tija. Dini zote zinaendeshwa kwa ushawishi. Ndiyo maana zimeruhusiwa kufanya uhuni wote bila kufungiwa, kuchunguzwa wala kushitakiwa. Wahusika waliamua kwa hiari yao wakiwa na akili timamu kufunga hadi kufa wakiamini walichoambiwa yaani pepo au kukutana na Bwana.

Pili, Hakuna namna waendesha mashtaka watathibitisha mashtaka yao bila wahanga kuwapo ili watoe ushahidi. Kama Mackenzie hakuwapa sumu au kuwaua kwa kuwanyonga au kwa namna nyingine zaidi ya kuwaaminisha, hana hatia hata kidogo. Rejea wanaoahidi kutenda miujiza ya kuondoa watu kwenye umaskini na kuishia kuwaibia na kuwafanya maskini na watumwa zaidi. Hata wahanga wakifufuliwa, hawawezi kuthibitisha kuwa walilazimishwa kufunga wakijua walichokuwa wakifanya na matokeo yake.

Tatu, sheria za kiingereza zinamtaka anayedai kuthibitisha madai yake. Si rahisi washitaki kuthibitisha kuwa Mackenzie aliwarubuni zaidi ya kuwahubiri nao kwa hiari yao , wakiwa watu wazima wakaamini na kutekeleza.

Nne hata akifunguliwa kwa makosa ya kuua watoto, hawampati kwa vile halikuwa jukumu lake kisheria kuangalia wale watoto zaidi ya wazazi wao. Rejea mnavyobatiza au kuingiza watoto wadogo kwenye dini zenu.

Mwisho, kwa vile dini zote zinatumia mfumo ule ule, kumpata Mackenzie na hatia, ima bunge litunge sheria mpya ambayo nayo itagonga mwamba kwa vile itakuwa illegal tokana kuwa retrospective au wafute dini kwanza ndipo mhusika ashikiwe.

Hata hivyo, itakuwa vigumu kumfunga vinginevyo wamuonee. Akipatikana na hatia si ya mauji bali uzembe au kuficha vifo na vitu kama hivyo ambavyo navyo kisheria, kama atapata wanasheria mahiri anaweza kushida.

Akifungwa, basi iwe ni kama kwenye kesi ya Mwamwindi baada ya kumuua Dk Kleruu.

Somo kubwa hapa ni kwamba tunaendeshwa na mifumo mibovu ya dhuluma
wahanga wapo wewe acha kuporojoka, unadhani wamekufa wote? Kuna kigezo cha ugaidi kesha zungushiwa, kutumia dini kushawishi wengine kuua au kujiua
 
Huyo mchungaji atafungwa kwa sababu mbili.

1. Kuna waumini Kama kumi wamepona kwenye sakata hilo watatumika kutoa ushahidi.

2. Amewahi kuwa na kesi Kama hiyo huko nyuma ya mauaji ya watoto wawili wa waumini wake kwenye scenario Kama hiyo sema polisi waliwawahi na kumkamata na hiyo kesi bado ipo mahakamani.
Mahaka itafunga wachungaji wangapi
 
Mwezi jana nilikuwa na rafiki yangu tukawa tuna discuss mada moja ya dini ya kikristo na Uislam
Nikamuuliza wakristo tunaamini kuwa wao ni watu waliosoma zaidi elimu dunia kuliko waislam.
Kwa mantiki hiyo mtu msomi kumdanganya ni vigumu kuliko ambaye hajasoma.
Ajabu sasa wakristo ni rahisi mno kuingizwa mkenge na wakaingia kingi kuliko waislam.Jamaa yeye ni RC akaniambia mtani nyamaza usiseme kwa nguvu ila sisi RC na Wasabato na waislam ni vigumu kudanganyika ni hizi dini zinazochomoza sasa hivi.

Ona kipindi cha Babu wa Loliondo alivyoteka umati wa watu kona zote nchini na nchi za jirani.Nasikia hadi Mwai kibaki na mama yake raisi Kabila walitinga Loliondo.Viongozi wa serikali yetu nao mmoja wapo mkuu wetu jina kapuni naye alikwenda huko.
Katika ndugu zangu hasa baba zangu asilimia 90 waliokwenda kule sasa hivi hawako hai kutokana na wengi wao kugoma kunywa dawa.

Inshort waislam sio wanafiki kwenye mambo ya imani zao.Hivi mmeshawahi kuona muislam anasema yeye ni nabiii nadhani akitokeza shingo yake inatafutwa kwa udi na uvumba.Mmeshawahi ona muislam akisema ana msikiti wake? mmeshawahi sikia waislam wakimchangia sheikh apate gari huku waumini wakiwa hohe hahe?.
Mmeshawahi sikia mtu anajitokeza anasema yeye ni mfalme ameshawahi kwenda mbinguni akakutana na Yohana?
Tumekuwa majuha mno hadi imani zetu zimekuwa na walakini na ndio maana uislam watu wengi wakristo wanasilimu.

Dini ya kikristo imekuwa ni biashara siku hizi chunguza wanawake wote wanaojiita manabii wenye makanisa yao utakuta hawana waume wako single.
Ajira zimekuwa shida sana ndio maana watu wanahangaika.Makanisa mengi yamesababisha ndoa za watu kuyumba kutokana na wanawake kuingia kwenye imani kiasi cha kudharau waume zao na kutukuza wachungaji wengine kudiriki hata kusimamisha mambo ya kimaendeleo kupeleka mafungu yote kwa mchungaji.
Mchungaji anatembelea V8 Muumini aliyemnunulia hiyo V8 anatembea kwa mguu mke wa mchungaji hajui kupanda boda boda.Halafu wahanga wa hizi imani ni wanawake na watoto wadogo.Kibaya zaidi kila ugonjwa hata unaotibika au wa akili anasingiziwa pepo.Ugonjwa mwingine wa akili unakuwa ni wa kuridhi kwenye ukoo mwanamke atadanganywa mtoto au ni pepo ametupiwa.Kuombewa kimsingi sipingi maana kwa mungu kila kitu kinawekezekana ila shida ni ile mchungaji anakuambia umelogwa umetupiwa jini wakati mgonjwa huyo huyo babu yake na ndugu zake badhi kwenye ukoo wana shida hiyo hiyo.

Yuko yule Kibwetere wa Uganda aliwachoma watu kanisani.Yuko jamaa mmoja alifunga hadi akafa Msumbiji,Yuko yule aliweka maiti akidai itafufuka hadi serikali ikaingilia kati mfu akazikwa,Zambia nako yuko mmoja aliamuru azikwe mzima kisha atafufuka kiukweli akapotea mazima,Yuko yule Kenya hakanyagi chini anakanyaga migongo ya waumini,Ghana kuna kanisa moja mchungaji anafundisha waumini wa kike jinsi ya kufanya tendo la ndoa kumfurahisha mume huku amewafuramisha wanawake chini kwa mtindo wa mbuzi kagoma

Wakristo tunakwama wapi na usomi tulio nao?
Huwa najiwaga na mawazo kuwa ndio maana waarabu sio wafanya kazi za shuruba sana lakini wana utajiri wa asili wa mungu kutokana kutokuwa wanafiki.

Kile kifungu cha watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa hapa ndio mahali pake.
 
Back
Top Bottom