Muuaji wa Kilifi Paul Mackenzie, ni vigumu kumtia hatiani vinginevyo dini zote zifutwa

Muuaji wa Kilifi Paul Mackenzie, ni vigumu kumtia hatiani vinginevyo dini zote zifutwa

Kama hawajamfunga mwamposa kwa kusababisha vifo vya watu kule moshi aliokuwa akiwakanyagisha mafuta, basi hata huyu hana kosa la kufungwa.........tuseme tu imani imewaua.
 
ushenz huu hauwez kuuona kwa ndugu zetu waislam. Wakristo wa sasa hawataki kusoma tena Bible, wanataka wachambuliwe na manabii ndio wanapopotezwa
 
Huyo mchungaji atafungwa kwa sababu mbili.

1. Kuna waumini Kama kumi wamepona kwenye sakata hilo watatumika kutoa ushahidi.

2. Amewahi kuwa na kesi Kama hiyo huko nyuma ya mauaji ya watoto wawili wa waumini wake kwenye scenario Kama hiyo sema polisi waliwawahi na kumkamata na hiyo kesi bado ipo mahakamani.
Naomba kuipangua hoja yako ivii... kwanza hao waumini wataulizwa kama walilazimishwa kufunga pili jukumu la kulinda au kuwa karibu na mtoto siyo lake bali ni la mzazi pale ni sehem ya kutoa huduma ya kiroho na walengwa hasa ni wazazi
 
Ndio mana Paul kagame aliona mbali Sana
Kuhusu dini ndani ya nchi yake

Huna degree ya theology and religion
Hakuna kufungua nyumba yeyote ya ibada

Na nimarufuku kuweka vipaza sauti na speaker njee ya kabisa au msikit weka sound proof
 
kwan walipokubali kufunga mpk kifo hawakutoa taarifa kwa ndugu zao ? kuwa wanajiandaa na umauti wa kiimani , huyo mchungaj tutamlaumu ila hana baya , uzezeta wako ndo umauti wako kama wale wa bikra 72


NB ; USHAHIDI SINA ILA KAMA ANAO USHAHIDI BASI HANA BAYA ILA KAMA NA YEYE NDO KAMA MIMI BASI AFUNGWE MPK KUNYONGWA
Hizo ni tuhuma tu, tusubiri Mahakama itasemaje.
 
Back
Top Bottom