Muuaji wa Kilifi Paul Mackenzie, ni vigumu kumtia hatiani vinginevyo dini zote zifutwa

Kama hawajamfunga mwamposa kwa kusababisha vifo vya watu kule moshi aliokuwa akiwakanyagisha mafuta, basi hata huyu hana kosa la kufungwa.........tuseme tu imani imewaua.
 
ushenz huu hauwez kuuona kwa ndugu zetu waislam. Wakristo wa sasa hawataki kusoma tena Bible, wanataka wachambuliwe na manabii ndio wanapopotezwa
 
Naomba kuipangua hoja yako ivii... kwanza hao waumini wataulizwa kama walilazimishwa kufunga pili jukumu la kulinda au kuwa karibu na mtoto siyo lake bali ni la mzazi pale ni sehem ya kutoa huduma ya kiroho na walengwa hasa ni wazazi
 
Ndio mana Paul kagame aliona mbali Sana
Kuhusu dini ndani ya nchi yake

Huna degree ya theology and religion
Hakuna kufungua nyumba yeyote ya ibada

Na nimarufuku kuweka vipaza sauti na speaker njee ya kabisa au msikit weka sound proof
 
Hizo ni tuhuma tu, tusubiri Mahakama itasemaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…