Muuaji wa Mwangosi afukuzwa kazi,IGP Mwema atua Iringa leo kwa Chopa

Muuaji wa Mwangosi afukuzwa kazi,IGP Mwema atua Iringa leo kwa Chopa

Mlyafinono

Senior Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
177
Reaction score
47
Habari zilizotufikia punde ni kwamba yule polisi aliyemlipua kwa bomu Daudi Mwangosi,amefukuzwa kazi.IGP Said Mwema ameingia leo mkoani Iringa kwa Helcopta.Kuna kikao cha siri kati yake na RPC Kamuhanda na maafisa wengine wa polisi,Manumba hajaondoka tangu ameingia Iringa jumatatu sikumoja baada ya kuuawa mwangosi.Kwaujumla hali ni tete.
 
Habari zilizotufikia punde ni kwamba yule polisi aliyemlipua kwa bomu Daudi Mwangosi,amefukuzwa kazi.IGP Said Mwema ameingia leo mkoani Iringa kwa Helcopta.Kuna kikao cha siri kati yake na RPC kamuhanda na maafisa wengine wa polisi,Manumba hajaondoka tangu ameingia Iringa jumatatu sikumoja baada ya kuuawa mwangosi.Kwaujumla hali ni tete.
 
Duh!shukran kwa taarifa mkuu,unajuwa member walikuwa na wasiwasi na hii id yako kutokana na kukaa kwako kimya baada ya kuleta ile thread iliyotabiri mauwaji.

Btw huo "utete" wa hali ni wa aina gani?hivi Mwema atamfukuza kazi RPC?ama ni kitu gani amefata huko ambacho asingeweza kukisikia akiwa Dar?ama ni mbwembwe tu kujionyesha wanawajibika?
 
Habari zilizotufikia
punde ni kwamba yule polisi aliyemlipua kwa bomu Daudi
Mwangosi,amefukuzwa kazi.IGP Said Mwema ameingia leo mkoani Iringa kwa
Helcopta.Kuna kikao cha siri kati yake na RPC kamuhanda na maafisa
wengine wa polisi,Manumba hajaondoka tangu ameingia Iringa jumatatu
sikumoja baada ya kuuawa mwangosi.Kwaujumla hali ni tete.

Yule mpuuzi aliesema karushiwa bomu na watu wa cdm na polisi walikuwa wanamsaidia tu kafukuzwa?
 
Tanzania needs an independent police force, with a SYSTEM that works to safeguard lives and properties of its citizens. Not REACTIVE ad hoc measures that are only intended to calm down public anger.
 
Tunashukuru kwa taarifa kama kafukuzwa kazi basi safari ya kwenda mahamakani imewadia.
 
Hiyo haiwezi kutokea kwani wakifanya hivyo watafanya maaskari kuwa waoga na wakiogopa tu basi M4C itaingia mpaka Ikulu, ndio tatizo la kuwa na askari wasio na kisomo
 
Nchimbi, Mwema, Kamuhanda inabidi wajiuzulu na muuaji apandishwe kizimbani haraka.
 
7 days later!

Nini majibu ya IGP kuhusu tamko la Mwigulu Nchemba kwamba Jeshi la polisi limeahidi kukilinda CCM hadi kufa?
 
Mh,danganya toto hiyo,afukuzwe kwa lipi?mbona waliomtuma kazi bado wapo?acheni kuleta tetesi zenu za uongo hapa!
 
Mkuu Mlyavinono,
Ulipopotea siku ile baada tuu ya kuposti maandalizi ya polisi kuua, wenzio na mimi nikiwemo, tuliisha kulilia sana tukikudhania....

Sahahani sana wale wote waliokuwa disturbed na my connecting the dots za kimya na Mlyavinono na the lost hero, Kamanda, Shujaa na Mpiganaji wetu aliyepotezwa.

The insinuations are highly regreted.

Pasco.
 
Habari zilizotufikia punde ni kwamba yule polisi aliyemlipua kwa bomu Daudi Mwangosi,amefukuzwa kazi.IGP Said Mwema ameingia leo mkoani Iringa kwa Helcopta.Kuna kikao cha siri kati yake na RPC kamuhanda na maafisa wengine wa polisi,Manumba hajaondoka tangu ameingia Iringa jumatatu sikumoja baada ya kuuawa mwangosi.Kwaujumla hali ni tete.
Mkuu Mlyavinono,
Ulipopotea siku ile baada tuu ya kuposti maandalizi ya polisi kuua, wenzio na mimi nikiwemo, tuliisha kulilia sana tukikudhania....

Sahahani sana wale wote waliokuwa disturbed na my connecting the dots za kimya na Mlyavinono na the lost hero, Kamanda, Shujaa na Mpiganaji wetu aliyepotezwa.

The insinuations are highly regreted.

Pasco.
 
Mimi nataka yule aliyesema kifo cha Mwangosi kilisababishwa na urushwaji wa kitu kizito toka kwa wananchi...for sure he has to be questioned alithibitisha vipi?
 
Kama huyo askari kafukuzwa kazi basi atakwenda kuwa jambazi.
 
Back
Top Bottom