fukunyungu
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 717
- 194
tena jambazi lenye uzoefuKama huyo askari kafukuzwa kazi basi atakwenda kuwa jambazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tena jambazi lenye uzoefuKama huyo askari kafukuzwa kazi basi atakwenda kuwa jambazi.
Hiyo haiwezi kutokea kwani wakifanya hivyo watafanya maaskari kuwa waoga na wakiogopa tu basi M4C itaingia mpaka Ikulu, ndio tatizo la kuwa na askari wasio na kisomo
so it was ok to shoot
right?
Duh!shukran kwa taarifa mkuu,unajuwa member walikuwa na wasiwasi na hii id yako kutokana na kukaa kwako kimya baada ya kuleta ile thread iliyotabiri mauwaji.
Btw huo "utete" wa hali ni wa aina gani?hivi Mwema atamfukuza kazi RPC?ama ni kitu gani amefata huko ambacho asingeweza kukisikia akiwa Dar?ama ni mbwembwe tu kujionyesha wanawajibika?
If it was so ordered! Yes.
Habari zilizotufikia punde ni kwamba yule polisi aliyemlipua kwa bomu Daudi Mwangosi,amefukuzwa kazi.IGP Said Mwema ameingia leo mkoani Iringa kwa Helcopta.Kuna kikao cha siri kati yake na RPC Kamuhanda na maafisa wengine wa polisi,Manumba hajaondoka tangu ameingia Iringa jumatatu sikumoja baada ya kuuawa mwangosi.Kwaujumla hali ni tete.
Habari zilizotufikia punde ni kwamba yule polisi aliyemlipua kwa bomu Daudi Mwangosi,amefukuzwa kazi.IGP Said Mwema ameingia leo mkoani Iringa kwa Helcopta.Kuna kikao cha siri kati yake na RPC Kamuhanda na maafisa wengine wa polisi,Manumba hajaondoka tangu ameingia Iringa jumatatu sikumoja baada ya kuuawa mwangosi.Kwaujumla hali ni tete.
Mlyafinono hao FFU ni wa Iringa au waliletwa toka nje ya Mkoa?Afikishwe mahakamani kwa kosa gani? huyu askari alikuwa kazini wakati tukio hilo likitokea, akimfikishwa mahakamani ina maana wote waliokuwa kazini lilipotokea tukio hilo la mauaji wanahusika kila mmoja kwa nafasi yake akiwemo RPC Kamuhanga. Kinyume na hapo nataka nimfahamishe IGP Mwema kwamba utawala wa sheria hautekelezwi kwa vitendo.
Tunashukuru sana mkuu kwa kujitolea kututaarifu.Pamoja.Nilkuwa nasoma upepo kuhusu hali ya usalama inavyokwenda,nitaendelea kuwataarifu kitakachojiri baada ya kikao kati ya IGP mwena na maofisa wake.
If it was so ordered! Yes.
i agree with with you... but first, was the shooter ordered?
If he wasn't, he still should be promoted for protecting his Senior Officer at instinct.
zomba, I read a book about what happened between Hitler and catholics. That pope did not have a courage to say some things that he should have said because of protecting the church in Germany. Hitler was dangerous to all believers including catholics...but he hated Jews above all.
manina..............
Zombie again... aaaaa...rrrrg...¤¤** :-x.*Saidi Mwema anakosea, angempandisha cheo huyo askari.
"if you have to shoot, shoot, don't talk" - The Good The Bad and The Ugly.