Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 1,979
Too little too late
Soma signature yangu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Too little too late
Mwangozi? Rekebisha hapo.
7 days later!
Nini majibu ya IGP kuhusu tamko la Mwigulu Nchemba kwamba Jeshi la polisi limeahidi kukilinda CCM hadi kufa?
Kama huyo askari kafukuzwa kazi basi atakwenda kuwa jambazi.
Saidi Mwema anakosea, angempandisha cheo huyo askari.
Na mahakamani atafikishwa lini?
Yule mpuuzi aliesema karushiwa bomu na watu wa cdm na polisi walikuwa wanamsaidia tu kafukuzwa?
Habari zilizotufikia punde ni kwamba yule polisi aliyemlipua kwa bomu Daudi Mwangosi,amefukuzwa kazi.IGP Said Mwema ameingia leo mkoani Iringa kwa Helcopta.Kuna kikao cha siri kati yake na RPC Kamuhanda na maafisa wengine wa polisi,Manumba hajaondoka tangu ameingia Iringa jumatatu sikumoja baada ya kuuawa mwangosi.Kwaujumla hali ni tete.
Asante Ritz!!tuombe Mungu haki itendeke,naamini kuwa RPC naye ana chochote cha kuisaidia polisi kama si kuwajibika moja kwa moja.Tunashukuru kwa taarifa kama kafukuzwa kazi basi safari ya kwenda mahamakani imewadia.
Saidi Mwema anakosea, angempandisha cheo huyo askari.
Kwa hilo mimi siamini hiyo ni danganya toto tu hawa jamaa wanalindana sana mifano ipo mingi tu.
Na atamfanyia ujambazi IGP na Nchimbi kwa kumtosa baada ya kutekeleza maagizoKama huyo askari kafukuzwa kazi basi atakwenda kuwa jambazi.
Baada ya kuwatumia jk kama kawaida yake atawatosa wote kuanzia IGP,RPC na wengine wote.Hii issue imewashika pabaya.Ni swala la muda tu.
Tumshukuru aliepiga zile picha maana zimewaweka uchi kabisa.Vinginevyo hii issue ingezimwa.
Hao ndio magamba bwana.
afadhali mkuuHabari zilizotufikia punde ni kwamba yule polisi aliyemlipua kwa bomu Daudi Mwangosi,amefukuzwa kazi.IGP Said Mwema ameingia leo mkoani Iringa kwa Helcopta.Kuna kikao cha siri kati yake na RPC kamuhanda na maafisa wengine wa polisi,Manumba hajaondoka tangu ameingia Iringa jumatatu sikumoja baada ya kuuawa mwangosi.Kwaujumla hali ni tete.