Mlyafinono
Senior Member
- Apr 6, 2012
- 177
- 47
Habari zilizotufikia
punde ni kwamba yule polisi aliyemlipua kwa bomu Daudi
Mwangosi,amefukuzwa kazi.IGP Said Mwema ameingia leo mkoani Iringa kwa
Helcopta.Kuna kikao cha siri kati yake na RPC kamuhanda na maafisa
wengine wa polisi,Manumba hajaondoka tangu ameingia Iringa jumatatu
sikumoja baada ya kuuawa mwangosi.Kwaujumla hali ni tete.
Mkuu Mlyavinono,Habari zilizotufikia punde ni kwamba yule polisi aliyemlipua kwa bomu Daudi Mwangosi,amefukuzwa kazi.IGP Said Mwema ameingia leo mkoani Iringa kwa Helcopta.Kuna kikao cha siri kati yake na RPC kamuhanda na maafisa wengine wa polisi,Manumba hajaondoka tangu ameingia Iringa jumatatu sikumoja baada ya kuuawa mwangosi.Kwaujumla hali ni tete.