Muuaji wa Mwangosi afukuzwa kazi,IGP Mwema atua Iringa leo kwa Chopa

Hiyo haiwezi kutokea kwani wakifanya hivyo watafanya maaskari kuwa waoga na wakiogopa tu basi M4C itaingia mpaka Ikulu, ndio tatizo la kuwa na askari wasio na kisomo

Issue ya shule ni muhimu sana hata kama ni form four angalau awe amepata Divion 3 ambae atakuwa na wazo hata la kujiendeleza lakini linapokuja suala la mtu amepiga Division four ya 32 points nearly zero hapa ni utata akiingia police ni rushwa na kuonea raia ili aogopewe watu wazidi kutoa mlungula kwa kuwa kwa cheti chake hana wazo hata siku moja kama atajiendeleza kielimu na kupata vyeo vya juu.
 
kumfukuza kazi pekee ni kumwonea nadhani kuna mnyororo mrefu sana ambao unatakiwa kuondolewa
 

Nilkuwa nasoma upepo kuhusu hali ya usalama inavyokwenda,nitaendelea kuwataarifu kitakachojiri baada ya kikao kati ya IGP mwena na maofisa wake.
 

noted with thanks mkuu!
 

Hivi kumfukuza inafanana na kifo cha Mwangosi ???(RIP)
 
kwanza nimefurahi km Mlyafinono yupo hai maana thread yake ya mwisho ilionyesha taarifa alizozipata kuwa POLISI wanajiandaa kuua aliandika kwa hofu na ilitufikia nusu kimashaka
Mlyafinono hao FFU ni wa Iringa au waliletwa toka nje ya Mkoa?
IGP, RPC wote wanahusika mpaka mtunza Silaha wa siku hiyo kwani walimpa akaue ndege? kumwachisha kazi ni kwenda kumficha km Balali
 
Last edited by a moderator:
Wanatuhadaa hawa unatakiwa kuanzia waziri wa mambo ya ndani na rpc, ocd na wato wanaohusika na usalama wa raia wajiuzulu na si kumwonea huyu walimtuma afunike kikombe wao wanaharamu wapite
 
Haitasaidia lolote, hii ni kujaribu kujikosha tu hawa wauwaji wakubwa!!!!
 
Nilkuwa nasoma upepo kuhusu hali ya usalama inavyokwenda,nitaendelea kuwataarifu kitakachojiri baada ya kikao kati ya IGP mwena na maofisa wake.
Tunashukuru sana mkuu kwa kujitolea kututaarifu.Pamoja.
 
i agree with with you... but first, was the shooter ordered?

If he wasn't, he still should be promoted for protecting his Senior Officer colleague at instinct. When you think your colleague is in danger, you shoot first you ask and answer questions later.

"if you have to shoot, shoot, don't talk" - The Good The Bad and The Ugly.
 

So many books about Hitler. There are those who think he was the best ever leader of Germany. Read and read and read.
 
"if you have to shoot, shoot, don't talk" - The Good The Bad and The Ugly.

irrelevant context

kumbuka yule askari nimaskini wa kutupwa, hana upeo wala nini... na si ajabu katika kabati lake, ukiondoa ile yunifomu, hana hata nguo moja iliyo nzuri kama zile yunifomu wanazotoa china
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…