ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Sepenga hajajipenyeza huko...!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukimuweka Will Smith kwenye tangazo lenu utamlipa sh.ngapi labda kwa mfano??
please toeni ushauri wizara wawe wabunifu sio kudandia kiki ya mteja aliyekuja kutumia pesa yake.
Kwani kaletwa hapaTZ na wizara au kaja kwa raha zake...?? Msitoe ushauri wa ajabu eti wizara itumie fursana hii kujiuza, wanahela ya kumlipa mtapotumia "will smith brand" without his will ..? Nyie muacheni tu afanye yake asepe na siku akija kwaajili ya promo ya wizara basi itakuwa sawa kabisa kwa wizara kuuza sura na Mzee wa "Men In Black -1997.
Sidhani kama inawezekana kufanya hivyo kwani hii ni safari yake binafsi, anajigharamia yeye mwenyewe na iwapo mkienda kinyume anaweza kuwashtaki na kuwadai fidia...na hata kuwaharibia huko nje kuwa hamuheshimu privacy za watu.Wizara Yetu imenisikitisha sana. Will Smith ni muigizaji nguli kutoka marekani. Hakika ni muigizaji ambae ana watu wengi wanaemfatilia. Nilidhani kufika kwake hapa nchini pangepewa kipaumbele. Kuna watu huko ulaya na Amerka hawakujui Tanzania kabisa.
Kufika kwake hapa ni fursa ya kutangaza mlima Kilimanjaro na mbuga Yetu ya Serengeti kwamba vipo Tanzania na sio Kenya. Ni fursa nzuri ya kutangaza mbuga zetu nyingine pia na Tanzanite Yetu.
kampuni gani inamhandle huyu jamaa
Mkuu nakwambia tena, labda wangetumia ujanja wa kumpa mchango diamond au king kiba , ajifanye kaenda kutalii yuko mbugani ,kisha abruptly wakutane na kupeana gwala, kisha domo arushe kwa page zake za kijamii mfano fb, inst, YouTube, n.k kisha waandishi wa kwenye blogs wazichukue na kuzisambaza kwa mitandao zako, hapo ungeona habari ya ujio wake ime hit the point of target. Ni mtizamo tu lakini mkuu.Hebu acheni izo wazee, tukubali tu kwamba watu wetu wamasoko kwenye hii sekta wamelala usingizi.. huyu mtu mkubwa sana.. kumpatia coverage ya media kwamba yupo Tanzania kusengehitaji kumlipa hata shilingi..
Kuna jipu tu kule linazungungukia mahoteli na kulala bure na kunywa mivinyo ya bei mbaya tu,hakuna anchofanya kuongeza watalii.ukimuweka Will Smith kwenye tangazo lenu utamlipa sh.ngapi labda kwa mfano??
please toeni ushauri wizara wawe wabunifu sio kudandia kiki ya mteja aliyekuja kutumia pesa yake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Apelekwe lilipo kiburi la faru John
Watu wapo busy na BashiteWizara Yetu imenisikitisha sana. Will Smith ni muigizaji nguli kutoka marekani. Hakika ni muigizaji ambae ana watu wengi wanaemfatilia. Nilidhani kufika kwake hapa nchini pangepewa kipaumbele. Kuna watu huko ulaya na Amerka hawakujui Tanzania kabisa.
Kufika kwake hapa ni fursa ya kutangaza mlima Kilimanjaro na mbuga Yetu ya Serengeti kwamba vipo Tanzania na sio Kenya. Ni fursa nzuri ya kutangaza mbuga zetu nyingine pia na Tanzanite Yetu.
Taiming imekuwa mbaya, sasa hv makamanda wa chadema wanajisevia kwanza......ni zamu ya kamanda wa anga mr dj kwa sasa!Sepenga hajajipenyeza huko...!!!
Ametoka kipundamilia pundamilia lol!
Hebu acheni izo wazee, tukubali tu kwamba watu wetu wamasoko kwenye hii sekta wamelala usingizi.. huyu mtu mkubwa sana.. kumpatia coverage ya media kwamba yupo Tanzania kusengehitaji kumlipa hata shilingi..
Hebu acheni izo wazee, tukubali tu kwamba watu wetu wamasoko kwenye hii sekta wamelala usingizi.. huyu mtu mkubwa sana.. kumpatia coverage ya media kwamba yupo Tanzania kusengehitaji kumlipa hata shilingi..
Kuna ngoma yao moja inaitwa summertime huwa inanikumbusha mbali sana!DJ Fresh Prince and Jezz Jeff, where is Jadda Pinkett?
Mkakati huo upo but ngoja kwanza wamtafute faru JohnNadhan huu ilikua wakati muafaka kwa wizara ya maliasili na utalii kutumia ziara ya nguli huyu kutangaza malisili zetu yani mbuga na mlima Kilimanjaro hata Tanzanite zetu.
View attachment 478147
Hata hawajui kama yupo nchini wako bize na siasa! wengine kwanza hawamjui!Bongo movie nendeni mkapige naye picha
OvA
Kenya wakipata fursa kama hiyo utawataka.mmmmukimuweka Will Smith kwenye tangazo lenu utamlipa sh.ngapi labda kwa mfano??
please toeni ushauri wizara wawe wabunifu sio kudandia kiki ya mteja aliyekuja kutumia pesa yake.
Aisee huyu pilot obed wa serenget balloon . Kaosha sanaNadhan huu ilikua wakati muafaka kwa wizara ya maliasili na utalii kutumia ziara ya nguli huyu kutangaza malisili zetu yani mbuga na mlima Kilimanjaro hata Tanzanite zetu.
View attachment 478147
Naweza nikaamini yupo TzAisee huyu pilot obed wa serenget balloon . Kaosha sana
Huyo aliyepiga nae pic ni Captain Abeid Soka wa Serengeti Baloon Safaris, na hapo ni serengeti chief.Nini kinathibitisha kwamba hapo ni serengeti?