Muugizaji nguli Will Smith akiwa Serengeti

Muugizaji nguli Will Smith akiwa Serengeti

ukimuweka Will Smith kwenye tangazo lenu utamlipa sh.ngapi labda kwa mfano??

please toeni ushauri wizara wawe wabunifu sio kudandia kiki ya mteja aliyekuja kutumia pesa yake.

Kwani kaletwa hapaTZ na wizara au kaja kwa raha zake...?? Msitoe ushauri wa ajabu eti wizara itumie fursana hii kujiuza, wanahela ya kumlipa mtapotumia "will smith brand" without his will ..? Nyie muacheni tu afanye yake asepe na siku akija kwaajili ya promo ya wizara basi itakuwa sawa kabisa kwa wizara kuuza sura na Mzee wa "Men In Black -1997.

Hebu acheni izo wazee, tukubali tu kwamba watu wetu wamasoko kwenye hii sekta wamelala usingizi.. huyu mtu mkubwa sana.. kumpatia coverage ya media kwamba yupo Tanzania kusingehitaji kumlipa hata shilingi..
 
Wizara Yetu imenisikitisha sana. Will Smith ni muigizaji nguli kutoka marekani. Hakika ni muigizaji ambae ana watu wengi wanaemfatilia. Nilidhani kufika kwake hapa nchini pangepewa kipaumbele. Kuna watu huko ulaya na Amerka hawakujui Tanzania kabisa.
Kufika kwake hapa ni fursa ya kutangaza mlima Kilimanjaro na mbuga Yetu ya Serengeti kwamba vipo Tanzania na sio Kenya. Ni fursa nzuri ya kutangaza mbuga zetu nyingine pia na Tanzanite Yetu.
Sidhani kama inawezekana kufanya hivyo kwani hii ni safari yake binafsi, anajigharamia yeye mwenyewe na iwapo mkienda kinyume anaweza kuwashtaki na kuwadai fidia...na hata kuwaharibia huko nje kuwa hamuheshimu privacy za watu.

Ila fursa bado ipo, dunia ina Mastaa wengi....wanatakiwa wao Wizara kumualika Mtu na kugharamia safari nzima kwa makubaliano maalum ya awali kwamba mnatangaza utalii wenu.
 
b8c012a29fbaae1ce080841c04bdb87a.jpg
6a7d6f027632e3142e2efe228ec4d4e8.jpg
a35fb487fbc375e4c9854d9c69eb79e7.jpg
Smith yupo wapi sasa maana kila nchi inasema yupo kwao
 
Siyo kila mtalii atataka dunia nzima ijue yuko wapi,wengine wanapenda mambo yao binafsi yabaki binafsi.

Wizara iwekeze siyo kusubiri kina Smith huo ni ubabaishaji.
 
Hebu acheni izo wazee, tukubali tu kwamba watu wetu wamasoko kwenye hii sekta wamelala usingizi.. huyu mtu mkubwa sana.. kumpatia coverage ya media kwamba yupo Tanzania kusengehitaji kumlipa hata shilingi..
Mkuu nakwambia tena, labda wangetumia ujanja wa kumpa mchango diamond au king kiba , ajifanye kaenda kutalii yuko mbugani ,kisha abruptly wakutane na kupeana gwala, kisha domo arushe kwa page zake za kijamii mfano fb, inst, YouTube, n.k kisha waandishi wa kwenye blogs wazichukue na kuzisambaza kwa mitandao zako, hapo ungeona habari ya ujio wake ime hit the point of target. Ni mtizamo tu lakini mkuu.
 
ukimuweka Will Smith kwenye tangazo lenu utamlipa sh.ngapi labda kwa mfano??

please toeni ushauri wizara wawe wabunifu sio kudandia kiki ya mteja aliyekuja kutumia pesa yake.
Kuna jipu tu kule linazungungukia mahoteli na kulala bure na kunywa mivinyo ya bei mbaya tu,hakuna anchofanya kuongeza watalii.
 
Wizara Yetu imenisikitisha sana. Will Smith ni muigizaji nguli kutoka marekani. Hakika ni muigizaji ambae ana watu wengi wanaemfatilia. Nilidhani kufika kwake hapa nchini pangepewa kipaumbele. Kuna watu huko ulaya na Amerka hawakujui Tanzania kabisa.
Kufika kwake hapa ni fursa ya kutangaza mlima Kilimanjaro na mbuga Yetu ya Serengeti kwamba vipo Tanzania na sio Kenya. Ni fursa nzuri ya kutangaza mbuga zetu nyingine pia na Tanzanite Yetu.
Watu wapo busy na Bashite
 
Sepenga hajajipenyeza huko...!!!
Taiming imekuwa mbaya, sasa hv makamanda wa chadema wanajisevia kwanza......ni zamu ya kamanda wa anga mr dj kwa sasa!
Ametoka kipundamilia pundamilia lol!

Hebu acheni izo wazee, tukubali tu kwamba watu wetu wamasoko kwenye hii sekta wamelala usingizi.. huyu mtu mkubwa sana.. kumpatia coverage ya media kwamba yupo Tanzania kusengehitaji kumlipa hata shilingi..
 
Wamelala usingizi wa pono. 🙁🙁

Hebu acheni izo wazee, tukubali tu kwamba watu wetu wamasoko kwenye hii sekta wamelala usingizi.. huyu mtu mkubwa sana.. kumpatia coverage ya media kwamba yupo Tanzania kusengehitaji kumlipa hata shilingi..
 
Nadhan huu ilikua wakati muafaka kwa wizara ya maliasili na utalii kutumia ziara ya nguli huyu kutangaza malisili zetu yani mbuga na mlima Kilimanjaro hata Tanzanite zetu.
View attachment 478147
Mkakati huo upo but ngoja kwanza wamtafute faru John
Nimewona mitaa ya Mbagala wanamsaka mtaa kwa mtaaa so ujio wa Smith hauwahusu kwa sasa
 
Back
Top Bottom