Duuh poleni Sana mama zetu.Ee Mungu wajalie kina mama wote moyo wa uvumilivu kuanzia kutunza mimba mpka siku ya kuleta kiumbe duniani ule uchungu Mungu aliuweka kwetu kwa sbb tunaweza kuvumilia maumivu makali jamani yale ni maumivu makali ambayo hata ktk sayansi hakuna maumivu yanayozidi maumivu ya uchungu wa kujifungua Inshort hayana mfanowe...
Inaruhusiwa ukitaka kumuona mke wako akijifungua.....Kwani ulivyokuwa ukipambana kuweka mimba hukujua outcome itakuwa nini?
Alafu nani alikuruhusu umchungulie wakati akipambana??
Mzalishe mwenyewe huyo jamaa yako maana kwa takwimu za majuzi muuguzi mmoja wa Tanzania anahudumia wazazi 1000(Nurses and midwives (per 1,000 people) - Tanzania | Data) , muda wa kupoteza kwa mama ambaye haonyeshi ushirikiano uko wapi? na kwa malipo gani? Nimekaa labour wadi miaka 18, nimezalisha kwa mwanga wa mshumaa hadi Nokia ya tochi najua hali ya huko(sasa hivi ni mchimbaji wa madini)Wamama wengi wanapitia kadhia hizi za kuburutwa na matusi ya fedheha toka kwa hao wanaoitwa manesi hasa wa hospitali ya umma, wakiitwa wamama watoe shuhuda zao jamii itashangaa! Ole wenu enyi manesi waovu! siku mkijaribu vitendo hivyo haramu kwa ndugu yangu nitahakikisha nazaa na nesi husika!
Siku hizi ukitaka ugomvi na mwalimu mwambie "Ualimu ni wito"....Miito waachiwe watawa wa Kikatoliki tu.Hao ndio wanaofanya kazi za mshahara siyo wito wake,
Atakutana na mkono wa baba jenet