Muuguzi adaiwa kumzaba makofi mwanamke aliyejifungulia sakafuni

Hii case ni tofauti Nesi amempiga mama akiwa tayari amejifungua eti kisa tuu amejifungulia chini
 
Mmejifanya kujua kuhukumu.hivi mjamzito akipelekwa wodini si anapewa kitanda? Kama alipewa kitanda kwa nini ajifungulie sakafuni na sio kitandani? Inamaana alivyopelekwa wodini alikalishwa sakafuni? Think twice angalieni pande zote. Tho sio kitu kizuri alichokifanya.
 
Hivi uchunguzi gani tena jamani.
Yani huyo angekuwa Tarime na yeye angekuwa amelazwa kwa maumivu huku uchunguzi ukiendelea jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…