kuseranasera
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 622
- 390
Afya ya akili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
☝Hiki kifo cha ndugu yetu ni mshahara tu kweli????“Kabla ya kufariki kwa mume wangu nilipigiwa simu na ndugu yake mmoja akaniambia nimwambie mume wangu aniambie maneno ya mwisho, sikuelewa mpaka tukio hili lilipotokea,” alidai Fatma.
Kazi haipo kwa ajili ya kukusaidia maisha, yaani unaleta ulevi kazini afu unadai salary?Dah! Hivi mtu unazuiaje mshahara wa mtu na kumtaka aendelee kufanya kazi!?
Bongo hadi police wanasaka umaarufu boss😀😀😀na kuwaweka washukiwa wa uharifu mbele ya camera za waandishi wa habari uwa sio sawa sema ndo tz yetu hiiWaliosababisha hayo wasimamishwe kazi nao kwa uchunguzi
Haya ya police kutoa press wangekuwa wanasubiri kwanza mbona huwa wana kiherehere sana kwa majibu mepesi ?
Wanapenda kuwa na waandishi mapema bila majibu ya maana kwanini wasiwe wanasubiri
Wizara ya Afya wamezidi madhambi km haya.... hasa yuleee Mama Dr. SYLVIA MAMKWEE ivooo! ivoo! Yule Mama katili sana, hana utu tena sana! ndo zake hizo!..sijui yuko wapi siku hizi?? huenda ndo kahamishiwa hapo!.....Miungu watu daaaah basi wafurahi sasa kijana wa watu kafa, waendelee kula mshahara wake.
Km huna njia mbadala serikalini au mtu wa kukusimamia yaani utakunya tu!! sometimes siyo ulevi wameamua tu kumpachika hilo jina la ulevi.ili kuficha ubaya wao! watu serikalini huko bana ??? hee!Haya sasa wamemtia stress, wamemnyima mshahara..kawaachia mshahara wote..watu roho mbaya sana
Uhuni Mkubwa SanaDah! Hivi mtu unazuiaje mshahara wa mtu na kumtaka aendelee kufanya kazi!?
Lete Maneno....Huyo dogo namfahamu sana. Ila kaanza kupigika kitambo sana. Ana sura moja ya upole sana, nlikuwa napiga nae mazaga pale Panama Bar na Pink bar
Ma-HR wengine wana suka zengwe maksudi tu! ajili ya kuwafurahisha ma boss wao, au wao wenyewe! dawa yao kuwaroga tu watembee kinyume nyume milele!!UTamuonea tu Hr, Kazi yake ni kubonyeza switch tu
WAHUNI SI WATU KUTIFUA SAMADI?????????? DOOOO!Keywords...."alipolewa ,walimdhuru,hali hiyo ilimkwaza akaamua kujinyonga."
Wahuni walitifua samadi nini? Maana Dar sasa hv kumejaa mamende.
Tuachane na hilo
"Marehemu inaonekana alikuwa na depression /msongo wa mawazo kutokana na hali yake ya kiuchumi ilivyokuwa. Hakuna kitu kinatia msongo wa mawazo kama kuwa bankrupt ghafla mara baada ya kuwa ulizoea kushika pesa"
Hao waliozuia mshahara wake ilitakiwa wachukuliwe hatua kali sana. Sheria za utumishi wa uma haziruhusu dhuluma hiyo juu ya mfanyakazi wa taasisi ya uma. Waeleze huo mshahara waliouzuia upo wapi?
Tushampoteza mwambaLete Maneno....
Hatari SanaTushampoteza mwamba
ukisoma kwa kina maelezo haya utagundua kuna sababu ya kifo nje ya hizi sababu za kujinyonga........Fatma Juma, mwanamke aliyekuwa akiishi na Sarwat alisema jambo pekee alilomshirikisha ni la ndugu zake kutaka kumhamisha kituo cha kazi.
Hata hivyo, alisema sababu za ndugu hao kutaka kumhamisha hakumueleza, lakini amekuwa akipokea simu za vitisho kutoka kwa ndugu wa mwanaume huyo.
“Kabla ya kufariki kwa mume wangu nilipigiwa simu na ndugu yake mmoja akaniambia nimwambie mume wangu aniambie maneno ya mwisho, sikuelewa mpaka tukio hili lilipotokea,” alidai Fatma.
Akizungumzia tukio sakata la mumewe kubebwa na gari la wagonjwa, alikiri tukio hilo kuwepo na bado hajafahamu mambo yaliyoendelea mpaka kilipotokea kifo.
MWANANCHI
Sasa kwa nn hukumsaidia kichaa wakoHuyo dogo namfahamu sana. Ila kaanza kupigika kitambo sana. Ana sura moja ya upole sana, nlikuwa napiga nae mazaga pale Panama Bar na Pink bar
Ipo dawa moja inaitwa fluphenazine japo ili ifanye kazi kwa ufanisi inabidi mlevi anywe maziwa kama doziHivi nyie madaktari hamna dawa ya kumfanya mtu aache pombe?