EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
I wish ungejua jamaa, nlimbeba sana sema ndio JPM akanisumizia Dom mwaka juzi.Sasa kwa nn hukumsaidia kichaa wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I wish ungejua jamaa, nlimbeba sana sema ndio JPM akanisumizia Dom mwaka juzi.Sasa kwa nn hukumsaidia kichaa wako
Huyo mama ana matatizo ya akili kamateni mmfungieni sehemu aanze doziWizara ya Afya wamezidi madhambi km haya.... hasa yuleee Mama Dr. SYLVIA MAMKWEE ivooo! ivoo! Yule Mama katili sana, hana utu tena sana! ndo zake hizo!..sijui yuko wapi siku hizi?? huenda ndo kahamishiwa hapo!.....
yule Mama hajali una watoto/familia, unakula au huli, una nauri au huna! anachojua umekuja kazini tu kwa mbinyo km huu! uombe pesa usiombeombe! hajui hayo! halafu anajifanya hakujui vile! .....
Majabu/kichekesho ya yule Mama ukimfuata ofisini anajificha! utasikia mara ana kikao!...basi utakaa kwenye corridor weeee! mpaka miguu iingie ndani! mara aingie huku mara kule!
ukimbana sana mkaonana, atajifanya kuandika andika kidogo ki-file uchwara ivi! halafu huyoo!...au atafanya hivi anajifanya kuagiza file lako Masjala hukooo! basi file litatafutwaaaa weee! siku nzima hawalioni!
jibu ni njoo kesho! kesho ukienda, DR Mama wana mbiyo za Mwenge! basi tu ili mradi uteseke halafu anafurahiii yule Mama sijui wamama/wadada wenye Mtindi wana shida gani!
Wizara ya Afya/na zingine km hii! muwe mnajitahidi baasi! kuajili watu wenye akili timamu!! wengine mnaajili wagonjwa wa akili/vichaa!...haina maana, eti kumtesa mtu bila sababu ya msingi
Halafu maajabu ya Musa anafurahiii huyoooo! heee!! bora umfukuze kazi mtumishi basi ajue moja!...lkn sababu ya kufanya hivo hana,...kujifurahisha tu, huyo huyo tena ukikutana naye amekwama utamfanyaje?
Kwaiyo agemwacha mlevi na asiye wajibika aendelee kuihujumu hospitalHata Kama utaratibu wa kisitisha mshahara ulifuatwa lakini HR aliyehusika roho itamsuta mpaka kaburini qmmk
Sasa kwanini wasimpe tiba mfanyakazi mwenzaoIpo dawa moja inaitwa fluphenazine japo ili ifanye kazi kwa ufanisi inabidi mlevi anywe maziwa kama dozi
Majungu sana humu makazini wakati naajiriwa nilikua nachukulia poa tu kila mtumishi ana upendo kumbe hamna lolote unafiki mwingiKm huna njia mbadala serikalini au mtu wa kukusimamia yaani utakunya tu!! sometimes siyo ulevi wameamua tu kumpachika hilo jina la ulevi.ili kuficha ubaya wao! watu serikalini huko bana ??? hee!
utakuta labda dogo ana bidii kazini, sifa km zote, alikuwa anapata mazali kazini km yote! nafasi za shule nje!! nje!! Ulaya.USA.JAPANnk zinakuja nafasi km zote!... sasa kumkomesha wanafanyaga km hivo!
wanambania mshahara mfanya kazi husika ! ili akome kuendelea na mambo zake!.......yaani kuna mengi humo wee acha tu!...ukijibana ukapata kajimradi kakusukuma kimaisha, Maboss wana nuna!
usiulize habari wanapataje!!.......BOSS Waafrica kuwapatia wale wanataka uwe maskiniiiiiii! milele!..ila ukionekana Bora
kiutendaji tu unalo!..
Mnene kiasi afya bora
unakili sana! kazini unalo, ndo maana wafanya kazi serikalini wamejichoshaa! maksudi!
Msafiii kimavazi na kimuonekano! unalo,
Unavaa vizuri nguo zinakukaa, shape km yote unalo!
unaheshimika na viongozi wakubwa unalo,
una mchumba/dem Mzurii ana kazi nzuri, utahangaishwa na ke! ma boss! mpaka ulie poo! yaani wako ivo km nyau tu!
unaongea kiingereza kizuri cha ki-USA/British kuliko Boss wako, wakti wewe siyo mtoto wa Lowasa Mawee! unalo, huchukui round! unashonewa zengwe! Mzembe kazini, mara huwajibiki vyema, mara umesababisha kifo cha kizembe!
Mama Samia ikitokea akakujua/taja tu mahali popote! utasumbuliwa weye mpaka ukome! hata kuhamishiwa mbaali huko! ....labda ukawasemee!
]
Baba yako sasa km ana hela na wakajua babako tajiri maweeee!! hakuna rangi utaacha kuiona..... utawaona live haoooo! wachawi weusi!
Ukiona una haya yooote lkn wasikuguse basi jua utendaji wako ni wa kawaida sana, huonekani tishio kwao! kuna wafanya kazi Ma boss huko serikalini km wachawi/watabiri!
hata wakikuangalia hivi tu, utausoma Mwili wao! unavoongea hawajifichagi na hawajirudi kamwe wanakuanyia tu ubaya maksudi,ulie usononeke wao haliwahusu!
Ukipata Nafasi labda ya kusoma tu! weee! hutaamini macho yako...........weeengi wamelizwa sana! yamkini na wengine kupotelea huko Duniani kusiko julikana! baadaye wanakufuta kazi wanavojua wao!
Serikalini kumejaa na vichaa wengi sana!