Muuguzi Mloganzila adaiwa kujinyonga kisa kunyimwa mshahara

Huyo mama ana matatizo ya akili kamateni mmfungieni sehemu aanze dozi
 
Mtu anafanya kazi ya muhimu kama muuguzi kweli unazuia mshahara na unamtaka aje kazini.. Si bora angebakia nyumbani
 
Majungu sana humu makazini wakati naajiriwa nilikua nachukulia poa tu kila mtumishi ana upendo kumbe hamna lolote unafiki mwingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…