Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Miongoni mwa waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima (Kanisa la Gwajima) akifanya maombi ndani ya gari la polisi baada ya kukamatwa na kuwekwa humo ikidaiwa sababu ni kuandamana na kukataa kutekeleza amri ya Jeshi la Polisi iliyowataka kutawanyika na kuacha kuendelea kufanya ibada pembeni ya barabara (Morogoro Road) kwa kile kilichoelezwa kuwa sio eneo sahihi.
Waumini wengine wameonekana kukamatwa na kuingizwa katika magari hayo ya polisi.
Waumini wengine wameonekana kukamatwa na kuingizwa katika magari hayo ya polisi.