Muumini wa Askofu Gwajima akifanya maombi ndani ya gari la Polisi

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Miongoni mwa waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima (Kanisa la Gwajima) akifanya maombi ndani ya gari la polisi baada ya kukamatwa na kuwekwa humo ikidaiwa sababu ni kuandamana na kukataa kutekeleza amri ya Jeshi la Polisi iliyowataka kutawanyika na kuacha kuendelea kufanya ibada pembeni ya barabara (Morogoro Road) kwa kile kilichoelezwa kuwa sio eneo sahihi.

Waumini wengine wameonekana kukamatwa na kuingizwa katika magari hayo ya polisi.
Your browser is not able to display this video.
 
Mh huyu mtu ni hatari kuliko hatari yenyewe.
Waislam wanaabudu bila kutishiwa ila sisi tunaonyeshewa mitutu sasa hivi
 
Paulo na Sila
 
Huyu muumini ni Paulo na Sila… Waliomba- milango ya gereza…
Ee Mungu Baba, fungua milango ya Paulo na Sila ya wakati huu. Amen
Tumewaza same reference ......Nakuongezea na ile ya Meshaki, Shadraki na Abednego.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…