Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Hii ikimaanisha,
kamwe haiwezekani CCM kushindwa uchaguzi wowote itakaoshiriki hasa kwenye nafasi za kitaifa, na wala kamwe haiwezekani uongozi wake kupinduliwa na vibaraka wa ndani au nje ya CCM yenyewe. Ni mfumo imara na madhubuti sana wa kiutawala wa milele. Na ndio maana mpaka leo hakuna uwezekana wa kuwepo kwa chama cha siasa tishio kwa CCM katika ngazi zote, kitaifa na hata kijiji.
Hakuna mwanya au mpenyo wa CCM kushindwa uchaguzi mkuu.
Ni vema waTanzania wakaendelea kuiamini CCM, wakaendelea kuipenda CCM na kuipigania CCM kwa wivu mkubwa sana, kwasababu ndicho chama cha siasa pekee Tanzania, kinachowajali waTanzania wote, kinachojiandaa kikamilifu kushiriki kila nafasi ya uchaguzi nchini, na chenye dhumuni la kushinda chaguzi zote kwa kishindo, lakini pia chenye malengo ya kukamata dola, chenye nia ya kuunda serikali, chenye uwezo wa kuongoza nchi, kuwatumikia waTanzania na chenye mipango madhubuti ya kuwaletea wananchi maendeleo endelevu ya kisiasa, kijamii, kiuchumi kitaifa na kimataifa, bila ubaguzi.
Ndio maana katika mabadiliko ya uongozi ndani ya CCM, akitoka jembe anaingia jembe, yaani CCM haiyumbi kabisa bali inaimarika na kujizatiti zaidi madarakani.
Vyama vingine vya siasa nchini, vina malengo tofauti na hayo ya CCM na ndio maana katika kila uchaguzi wanakua kama wasindikizaji tu, kwasababu wanakua hawana agenda, mipango, nia njema na kabisa hawana hoja zenye uelekeo wa kuwasaidia, bali kuchochea chuki na kuvuruga amani na umoja wa kitaifa..
Una maoni gani.
Mungu Ibariki Tanzania.