Muundo wa Muungano: Tanganyika tunataka 'Serikali moja, nchi moja, taifa moja'!

Muundo wa Muungano: Tanganyika tunataka 'Serikali moja, nchi moja, taifa moja'!

Jamaa wanaamini sana kwenye ushirikina, ukienda maeneo ya Ilala ambako wameweka ngome kwa kujaa sana utashangaa karibu kila nyumba ina mtoto zezeta! Hawa watu ni nouma. Utajiri wao wengi unatokana na NGUVU ZA MAJINI... Wazenji ni nouma

Ni kweli wanaamini ushikirina ukienda zenj na albino lazima umlinde sana, other wise watamkata viungo au kumuua ili kufanikisha watalii kuingia kwa wingi zenj. Hadi sasa zaidi ya albino 70 wameuliwa huko kwa sababu za ushirikina!
 
Unajua unafurahisha sana, unaandika kama vile kuna Ugomvi kati ya watu wawili walio sawa, kumbuka Zanzibar ambayo unapoteza muda kuiongelea hapa ina watau chini ya milioni na km za Mraba 2500, wakati sisi tuna watu milioni 40 na km za Mraba karibu milioni moja, hivi huoni kama watu wengine wanaweza kukushangaa kushindisha hivyo vitu viwili?

Zanzibar wanakunyima nini? kuwepo kwao au kutokuwepo kwao?


Hapo umenena. Unajua wakati mwingine mtu anaweza kukukera mpaka ukajikuta unabishana nae hata kama anachobishania hakina maana. Wazanzibari wamedanganywa kwamba kama wakijitenga na bara watakuwa kama Dubai. Swali ambalo hawajiulizi ni kwamba mbona kuna visiwa vingi tu katika bahari ya hindi ambavyo havijaungana na Tanganyika na bado havijawa kama dubai. Mfano mzuri ni visiwa vya Comoro.
 
ZNZ ni kweli wanamtegemea Tz Bara kwani bila Bara kwao ni full njaa na fujo kwani ni walalamishi kupindukia hata wapewe nini hawaachi kulaamika hata wakijitenga Watagombana wenyewe kwa wenyewe Na hao waarabu wanaotaka kuludisha koloni watagombana tu kwani hawatavumilia ulalamishi toka kwa watu ambao wanawasaidia Na Ndoto ya Mafuta Pemba wakumbuke ipo na Bara Pia kwani Bara kuna Bahari kubwa sana Tokea Tanga hada Mtwara imejaa mafuta tele ZNZ watambue Kuwa wao watakuwa Raia wa Kigeni Bara pindi wakijitenga na itakula kwao kulipia viza na vibali vya kuishi na kufanya kazi Bara kinyume na hapo waishi Kama wakimbizi TZ Bara ni Nchi tajiri sana na wananchi wake si walalamishi sana Ndio Maana wana endelea kuwahudumia pasipo ubaguzi

Utajiri kweli mnao, na POPULATION kubwa mnayo. Na eneo kubwa la kigeographia mnalo, kwahiyo, mkumbuke ya kwamba hata kama unakipato kikubwa lkn familia ni kubwa mahitaji yatakuwa hayatoshelezi, ikisha kama nyinyi sio walalamishi mbona Nyerere alikataa kuunganika Africa nzima akadai tuanze regional. Kama haitoshi, uchumi mdogo wa zanzibar ikiwemo bandari kufifia ni sera maalum ya watanganyika. Mapato ya kodi plus vyanzo vya mapato vyote vya mambo ya muungano yaliyopo mwanzo na yaliyoongezwa kama vile misaada nk, yote huishia kwenye serikali ya muungano na matumizi yake hutumika kwenye mambo ya muungano na mambo yasiyo ya muungano ya tanganyika kwani Bajeti inajadiliwa pamoja, ambapo mambo ya muungano yanayokwenda zanzibar kama vile polisi jeshi nk, haifiki hata asilimia 10% ya pato la mambo ya muunganno linalotumika kwa ajili ya zanzibar. Hela nyengine yote inakwenda wapi?
Kuna misaada mingapi ilitakiwa ije zenjy, serikali ya muungano ilikataza? Ukija kwenye suala la Ajira, maeneo yote ya muungano karibu 28 walioajiriwa wengi ni watanganyika, kwahiyo basi kama hayo yote yatatoa ajira kwa wazanzibari wenyewe, huoni kama wazanzibari wote watakuwa na ajira? Kwa mfano elimu ya juu, ni wazanzibari wangapi wanaosoma Tz bara, na wangapi wa tanganyika? Kwaiyo na nyinyi mtabeba mzigo wenu wenyewe.

Kwa kuhitimisha, toeni bandari, mambo ya nje, sarafu na uhamiaji viwe tanganyika pale na zanzibar pake baada ya miaka miwili tuje tufanye tathmini uchumi wa nani umekuwa?!!

Tanganyika hamtaki kupumua kwani?
 
Kwa kuanzia hawawezi kua kama Dubai au singapore lkn baada ya kuchimba mafuta yao who knows?

Na hizi kelele zote za kuwa dola kamili msingi wake mkubwa hasa ni uchoyo wa hayo mafuta. Hakuna kingine. Ngoja tusubiri tu tuone kama miaka ishirini na tano tu ijayo watasherehekea hayo mafuta ya pemba na mchele kutoka huko Asia, au kama watalazikika kutafuta mchele. mahindi, ngano na matunda kutoka nchi jirani ambayo haina shida na mafuta yao. We'll just have to wait and see how long they'll be able to eat their oil katika mazingira ambayo wanaowatia kiburi wako bize kutafuta maeneo ya kulima, kuwinda na kununua madini mengine hapa Tanganyika. All you'd have to do ni kufix hao wanaowatia kuburi af tuone watakula hiyo oil yao siku ngapi.
 
Swali kwa viongozi wa tanganyika kama kweli zanzibar haitaki muungano kwanini muwanganganie na kama hakuna uchumi mzuri kwanini hizo pesa msisaidie walala hoi wenu ? ..Kunanini zanzibar mpaka muwanganganie jibuni hoja?
 
Wazanzibar karibu wote walikuwa wanahudumiwa kiuchumi na serikali ya Tanzania ambayo inakusanya kodi kubwa kutoka kwenye biashara ya pombe, Sigara, Kitimoto, madini, Pamba, nk kutoka upande wa Tanganyika.

No sensi, lazima ulikula majongo ulipokuwa mdogo, up stairs NIL, tangu ini umesikia wazanzibari wanakula maharage, sembe, na mrenda. Yakhe sisi tuna chakula cheti ni mteeeeeeeee na watoka China, India na Thailand hautoki Mrima na wala hatununuliwi na watanganyika, ni pesa yetu tena wala sio ya serikali watu binafsi. kama njaa basi ni kwa Tanganyika maana mmefunga bandari bubu za Bagamoyo ambazo ndio tulikuwa tunatumia kuwaletea sukari na mchele, sasa mtakula jeuri yenu. Zanzibar mvua za kumwaga na ukame wote mlionao Tanganyika. On this you are the loooooooooooooooser, watu mliotupa asili yenu kwa kutaka kuwa wakoloni weusi.
 
huku kwetu tanganyika. mijitu ni mbumbumbu vichwa tasa kila kitu wanareffer kwa nyerere angetokea kusema yy ni mungu wangemfuata. mijitu ya huku inaujinga aisee. vichwa maji ma emaneno tele hatujui hata kudharauliwa tumejikumbatisha kwa wazenji japo hawatutaki hatustaarabiki. tunatembea uchi. hatuwajali wanawake zetu. na hata mama zetu. hatithaminiani. vya pombe sisi. tena vilabuni tunaenda na wake zetu. ushenzi huu tulonao washatuchoka tuwaacheni tunajidai lakini hatuwapi chao? inashangaza . tunakasirikaje na mtu kudai chake. aisee watanganyika dhulmaa
Duuh!umeua mkuu!
 
Unaandika usichokielewa!
Kwa taarifa yako tu zaidi ya asilimia 60% ya Watalii wanaokuja TZ, wanakwenda Zanzibar, kwa maana nyingine hao watalii wanakuja TZ kwa sababu kuna Zanzibar, na Utalii ktk Nchi yetu ni namba moja au mbili kwa kuingiza mapato Serikalini!

Leo hii tembea Duniani kote uliza watu kuhusu Tanzania watakwambia hawaijui na wala hawajawahi kuisikia, lakini uliza Zanzibar utasikia mara moja wanakwambia its my Dream place!


Usiandike usichokijua!



Kweli unajua unachokiandika? au unaandika kwa kuwa unaweza kuandika? Idadi ya watalii haina maana idadi ya pesa, Zanzibar kuna vivutio vingapi vya utalii? bara kuna vingapi? vingapi vinatembelewa?

Mkuu cha muhimu haoa ni kuwa tuombe mungu Tanganyika ije, Zanzibar iwe huru, na ijitegemee. Hili ndio muhimu.
 
wazanzibar waachiwe nchi yao na cc watanganyika 2endeshe ye2.
 
Ni kweli wanaamini ushikirina ukienda zenj na albino lazima umlinde sana, other wise watamkata viungo au kumuua ili kufanikisha watalii kuingia kwa wingi zenj. Hadi sasa zaidi ya albino 70 wameuliwa huko kwa sababu za ushirikina!

wazanzibari hawana ukatili huo kama watanganyika sijawahi kusikia albino kuuliwa huko zanzibar unyama huo uko tanganyika tu hadi serikali imeamua kuwalinda albinos, tanganyika hata ukiiba viatu vya kuhifadhi miguu yako basi utauliwa na utachomwa moto vile vile
albino.jpg
huu ndio ubinadamu gani basi

kule Zanzibar hakujawahi kutokea mauwaji kama haya
achomwa1.JPG


mwizi2.jpg
 
Mkatoliki Mtanganyika Mchaga tangia lini akamuonea huruma Mzanzibari Muislamu!!!!!'?

Kwa Taarifa tu Leo Maalim Seif alikuwa na mkutano Zanzibar kasema hivi-
Lazima kwa maana ya lazima mamlaka kamili ya Zanzibar yapatikane
.


Madai ya Waislam wa Tanganyika/
Kujiunga na OIC
Kupumzika Ijumaa
Mgawanyo sawa madaraka ya Serikali
MoU ifutwe.

Mahkama ya Qadhi.
..... mengine utajaza mwenyewe!!!!
Kumbe siku hizi kuna program ya kuomuonyesha mwana JF dini yake, kabila lake na utaifa wake?
Hapo kwenye bluu, hivi huyu maalim seif mbona anawafanya nyie wapemba kama hamnazo? huku anasema hivi kule anasema vile; sasa mamlaka kamili anayotaka maana yake ni taifa lisilo katika muungano, sasa anapodai wabunge wawe 50/50 nyie hamuulizi kivipi ilihali kila nchi kivyake? siku nyingine muwe mnafikiria japo kidogo.
Na hapo mwisho, tafadhali mkuu, wewe si msemaji wetu wa waislam, hakuna muislamu aliyetaka Ijumaa apumzike, kwani hakuna sababu na hakuna aya katika quran inayowataka wasifanye kazi Ijumaa. Hivyo tunaomba usiwe mfitini, pia hakuna muislam anayetaka mgawanyo sawa serikalini, ujue kutofautisha baina ya equally na fairly.
 
Chama cha magamba ndicho kinachowang'ang'ania na sio Watanganyika wanaoelewa uthamani wa utanganyika wao! Subiri tu maana bado kitambo kidogo mtaachwa muwe mataifa mawili huru yaani Unguja na Pemba. Kama hamuamini, ombeni tu maisha marefu ili mshuhudie wenyewe. Zanzibar ni lazima iwe mataifa mawili lakini Tanganyika tutabaki taifa moja maana sisi sote ni ndugu na maana ya udugu tunaijua.
Zanzibar ilikuwepo zaidi ya miaka 1000 na hakujawahi kutokea historia ya watu wa unguja na pemba kupigana sisi ni ndugu damu na mila na desturi zetu ni moja na hata siku moja haitatokea sisi kuuwana kama nyie watanganyika:israel:
 
Unaandika usichokielewa!
Kwa taarifa yako tu zaidi ya asilimia 60% ya Watalii wanaokuja TZ, wanakwenda Zanzibar, kwa maana nyingine hao watalii wanakuja TZ kwa sababu kuna Zanzibar, na Utalii ktk Nchi yetu ni namba moja au mbili kwa kuingiza mapato Serikalini!

Leo hii tembea Duniani kote uliza watu kuhusu Tanzania watakwambia hawaijui na wala hawajawahi kuisikia, lakini uliza Zanzibar utasikia mara moja wanakwambia its my Dream place!


Usiandike usichokijua!


na Kilimanjaro +Serengeti pia hazijulikani?
 
Unaandika usichokielewa!
Kwa taarifa yako tu zaidi ya asilimia 60% ya Watalii wanaokuja TZ, wanakwenda Zanzibar, kwa maana nyingine hao watalii wanakuja TZ kwa sababu kuna Zanzibar, na Utalii ktk Nchi yetu ni namba moja au mbili kwa kuingiza mapato Serikalini!

Leo hii tembea Duniani kote uliza watu kuhusu Tanzania watakwambia hawaijui na wala hawajawahi kuisikia, lakini uliza Zanzibar utasikia mara moja wanakwambia its my Dream place!


Usiandike usichokijua!

Yaani wee uliyemwambia mwenzio haelewi wewe ndio zero kabisa umeandika kwa ushabiki au kile kiitwacho 'maji ya kifuu chungu kaona bahari'. Nadhani kuna mambo hujui na huelewi, watalii wanapenda mambo mawili NYIKA na MAJI hususan ya Bahari. Hivyo watalii wengi focus yao na. 1 kwa Tanzania ni Serengeti na bonde la Ngorongoro ili kuona migrating animals na wanyama ndani ya shimo la Ngorongoro, kabla ya kurudi kwao huwa wanataka kwenda ufukweni mwa bahari ili kujiachia utupu na kuota jua ili wawe na ngozi tofauti kidogo ya kwenda kuhadithia kwao wanporudi ndio maana safari zao pia zinapitia Zanzibar. Uelewe tu Mazingira ya Tanganyika kwa watalii ni 'unique' kwa maana hakuna sehemu nyingine duniani ambayo utaona wanyama wanavyohama kama Serengeti au wanyama wamejazana pamoja kama Ngorongoro, lakini mazingira ya Zanzibar sio unique kwa vile kuna beach nyingi sana duniani tena zilizoboreshwa san kwa mfano Mexico, Indonesia, Fuji na Visiwa vingine vingi tu. Na hili la kusema "dunia kote" watu hawaijui Tanzania ila wanaijua Zanzibar ni upuuzi uliopitiliza, sijui nchi gani ulizoenda ukakuta watu wa namna hii. Ungelisema unapotaja Tanzania watasisitiza kwa 'Serengeti, Ngorongoro au Zanzibar" hapo sawa kwani ndiyo maeneo yanayowavutia, lakini kusema haijulikani, ni ujinga mnaoongopeana maskani zenu za mtendeni hapo. Kimsingi huwezi kuijua zanzibar bila kuijua Tanzania kitalii. Kwa hiyo hizi habari za kujifariji kwa kujiongopea kaongopee chumbuni na mtendeni
 
mwalimu kweli kiboko cjui aliwalisha sumu gani wadanganyika kazi ujinga tu kwa hali hii umasikini utaisha kweli, bila Zanzibar Tanganyika inawezekana ndo maana hamuendelei kwa zidumu fikra za mwenyekiti. hebu wapelekeeni mahindi ndugu zenu wana njaa huko mikoani kuliko kupoteza muda wa kumuongelea jirani coz hao wazanzibari sioni kosa kudai visiwa vyao Tz feila kwa miaka hamsini tuwache wapumueeee washachoka kubebwa na kipofu kazi porojo tu nchi ishakufa kwa kuendekeza fikra za mwalimu Nyerere cha ajabu eti mpaka leo watu wanaunda katiba mpya kwa kutumia hoja za nyerere watu wanangali miaka 50 mbele ssi ndo kwanza tunarudi ti mwalimu kasema duh cjawahi ona taifa kama hli duniani la wajinga wa mwalimu kifimbo labda ndo kime waloga
 
Chama cha magamba ndicho kinachowang'ang'ania na sio Watanganyika wanaoelewa uthamani wa utanganyika wao! Subiri tu maana bado kitambo kidogo mtaachwa muwe mataifa mawili huru yaani Unguja na Pemba. Kama hamuamini, ombeni tu maisha marefu ili mshuhudie wenyewe. Zanzibar ni lazima iwe mataifa mawili lakini Tanganyika tutabaki taifa moja maana sisi sote ni ndugu na maana ya udugu tunaijua.

hyo atakuwa mwalimu ndio amekusomesha vibaya ila endelea kutoka povu wadanganyika ujinga ndio ibada ndio maana mpaka leo maendeleo mnaona kwenye tv na hii ndo sera yenu zidumu fikra za mwalimu.
 
Maana wakenya watafaidi kutoka kwetu na sisi tutafaidi kutoka kwao, hivyo utakuwa ni muungano wenye tija pande zote Mbili.

Hii tabia ya kwa sadala ndio inayoifanya Tanganyika kujifanya mkoloni mweusi kwa Zanzibar, mnapenda mteremko, hamtaki kujituma, mna raslimali mnazikalia. Kwa taarifa yenu wakenya tuu ndio watakaonufaika mukiungana na Kenya, maana wajinga ndio walio wao na nyinyi (tanganyika) wajinga, wakenya ndio wanaouza tanzanite nje kuliko Tanzania, wakenya ndio wenye mlima kilimanjaro na serengeti kwa sababu bado mmelala, na ndio maana Tanganyika yenu ikayayuka bila hata kujijua mnafanya nini, kwa sababu vichwa vyenu povu tupu, kwa hiyo usitegemee mkiungana na kenya mtafaidika ndio watakumalizeni kila kitu kitakuwa chao mpaka gesi ya mtwara. tanganyika itabaki kama Yomba Yomba
 
haya tumeyakubali yote wacheni yatukute, jst tupeni mwanya w kuchomoka tu. dah mijamaa inaboa cjui imeambowa zanzibar ndo moyo wao. mtwana haachi asilie, kila siku mnatupga kampeni izo kwa izo
na hatufaham basi, tuacheni tupumue


Vipi ndugu yetu Mpemba,muungano ukivunjika utarudi kwenu kulima minazi na kuvua pweza au tutabanana hapa hapa Dar-es salaam?
 
Back
Top Bottom