minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Urusi iliposambalitika wengine wamechoka lakini Rusia imebaki Kuwa Tajiri hata ZNZ wakijitoa haitawaathili Bara sana sana Bara atakuwa tajiri kwa kuuza umeme zenji Ada za viza na vibali vya kuishi na kufanya kazi Bara kwani wazenji wote watakuwa Raia wa Nchi JilaniHili la serikali tatu ni sawa kwa kuwa muda si muda tutakuwa na akina Yeltsin watakaowaacha akina Gorbachev bila nchi ya kutawala na hivyo Tanganyika kuwa nchi peke yake bila unyonyaji wa Zanzibar na Zinzibar kubakia peke yake bila unyonyaji wa Tanganyika. Juzi nimewasikia wakililia kiti chao UN basi tukimpata Yeltsin wetu nao watakuwa na kiti chao huko UN. Wacha zije lakini tatu hazitadumu.