Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cjawai ona mkurya tena wa nyamwaga anayejua mambo hiviMkuu naona unaleta ligi kwa kitu usichokijua.
Elewa DIT kuna Bachelor of Engineering in Electrical Engineering. Ila kwa mlimani unaitwa Bachelor of Science in Electrical Engineering. Google ili ujue tofauti zikoje.
Hizo za miaka mitatu huwa ni B.E zipo hata India Nepal Bangladesh, Pakistan,Malaysia Sina uhakika kwa Europe.
Pia Huo mfumo Wa miaka mitatu una favour MTU aliyetoka FTC elewa ndugu.
Ila kijana akiingia na six yake anapiga minne kama kawaida. Wa FTC yeye anaanzia mwaka Wa pili.
Iyo mhasibu kula Hela nyingi sijakataa ni mashirika ila tunaongelea kiujumla kuwa viwango vya salary za Engineers ziko juu kuliko wahasibu. Sema iyo anaweza akawa yupo kwenye shirika akawa analamba za kufa MTU hata kama salary ya 10 Engineers.
Hivi unaelewa kuwa salary ya driver Wa tanapa ama Wa mbunge ni bei gani.
Ishu kuwa ni kuwa Upo kitengo gani.
Daktari Wa rufaa na hospital kawaida wanatofautiana salary unalijua hilo.
Unajua salary scale ya Engineer Wa halmashauri,TANROADS, Tanesco ama TBS zikoje lakini.
Pia unaelewa nesi Wa UNHCR anakula bei gani.
Architecture kama anasoma miaka minne. Ina mana anapunguza mambo ila sio full architecture unalijua Ilo.usifanye mambo kuwa marahisi ili yaendane na fikra zako.
Hivi hauelewi general.
Kaulize Mhasibu Wa TANROADS na mhasibu wake ni nani anayelipwa Hela kubwa.
Unajua Highway Engineer kwenye miradi ya UN anakula zaidi kama 20M kwa mwezi na huku Wa halmashauri engineer hiyo Hela kuipata mpaka miaka miwili ajumlishe salary yake ndo amfikie.
Yaani watu sijui mko dunia gani.
Uliza Malaya ukiwa mlimani city pale samaki samaki ,kona bata sinza,sewa gesti,lambo, mwanachuo anayjiuza, mwananyamala,akiwa masaki,maisha club,club las Vegas ,ukiwa mwanza ,tanga,Arusha pale shivaz kama mrina bar, hata mwanza ukiwa kasiki,bonasera,diamond, Bundesliga, tanga ukiwa Majestic ama wale wanaokaa roads, ukiwa zenj unaelewa maisha.
Inategemeana na eneo unalofanyia kazi mkubwa.
Kuna mahali dereva anamzidi salary mpaka daktari.
Dereva kwa USA analipwa dola 5K ~ 12M+ kwa mwezi kwa Hela za madafu.
Daktari kwa kanada anakula lama 75M kwa mwezi Hela ya kitanzania.
Kama hujaelewa basi nakuacha