Muunganiko wa Rais Samia na Hayati Magufuli ulikuwa wa karne

Error 404

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2022
Posts
2,151
Reaction score
3,493
Habari, Tanzania kwa Mara ya kwanza ilishuhudia kupata Rais na Makamu wake wenye sifa ambazo kama zingeunganika vizuri basi katika ile miaka 5 Tanzania ingepata maendeleo ambayo ingechukua hata karne moja kuyapata tena .

Kifupi ni kwamba JPM alikuwa msimamizi mzuri wa pesa na Mama ni Mtafutaji mzuri wa pesa ,hivyo ukiunganisha Maana yake mama anabuni vyanzo vya pesa zinapatikna zinapelekwa kwenye miradi JPM anazisimamia vizuri hazipotei fikiria matokeo yake hapo .

Tatizo kuu kwanini hatukupata Mafanikio makubwa sana sababu ni Kabila langu , Wanawake tunawachukulia wa chini sana kwa hiyo hata Mawazo yao yanachuliwa hivyo hivyo,kiasi kwamba naweza kwenda kwa kaka shemeji asipo nipa Maji nampiga na namwambia kaka kabisa nimemwazibu shemeji hana heshima .

Kwa hiyo hapo ndipo tulikwama ,Mama anashauri anaonekana si kitu .​
 
Tumuache apumzike aliupiga Mwingi sana
 
Back
Top Bottom