Mnaturudishaje na wakat mbaya zaid tumeshzaana na wadada wa kitanganyikaSiku huu muungano ukivunjika hao Wapemba na Waunguja walionunua ardhi na kujenga huku itakula kwao kwani lazima tuwawinge warudi nchini kwao .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnaturudishaje na wakat mbaya zaid tumeshzaana na wadada wa kitanganyikaSiku huu muungano ukivunjika hao Wapemba na Waunguja walionunua ardhi na kujenga huku itakula kwao kwani lazima tuwawinge warudi nchini kwao .
Zanzibar ya wapi ulienda kununuwa viwanja? Labda pesa yako ndogo tu, Zanzibar tunauza viwanja kwa dollar tu.Hivi majuzi nimetoka kununua viwanja vya biashara kwenye mikoa 3 ya Tanzania bara na zoezi limekwenda vizuri sana, mamlaka zimetoa ushirikiano wakutosha, zoezi la kutransfer majina ya wamiliki limekwenda vyema sana.
Baada ya hapo nikaja Zanzibar kupata eneo ili kukamilisha zoezi na kuanza hatua inayofuata. Kwakifupi wameniambia SINA SIFA ya kumiliki ardhi maana mimi sio Mzanzibari wala sio mkaazi wa kudumu wa Zanzibar.
Nimeshangaa sana, huu ni muungano gani? Nawafahamu WAPEMBA wengi wanamiliki viwanja, mashamba na nyumba Tanzania bara na wamemilikishwa kwa kufuata utaratibu uleule tunaofuata watu wa bara.
Mh. Rais hapa mnatunyonya, hakuna haja ya muungano kama mambo yenyewe ni haya. Pia eneo letu la MAKURUNGE lirudishwe toka kwenye mikono ya serikali ya Zanzibar wauziwe watanganyika.
Mbona safi sana hiyo. Umemsahau kaburu mliyetaka kumdhulumu alifanya nini?Siku huu muungano ukivunjika hao Wapemba na Waunguja walionunua ardhi na kujenga huku itakula kwao kwani lazima tuwawinge warudi nchini kwao .
Lazima ufahamu kuwa huu muungano ni kati ya nchi mbili moja ni kubwa na yenye uwezo mkubwa na nyingine ni ndogo Haina hata eneo la kuwatosha wenyewe na vizazi vijavyo. Kwa hiyo lazima mwenye uwezo zaidi atoe zaidi pia Ili kuimarisha muungano.Hivi majuzi nimetoka kununua viwanja vya biashara kwenye mikoa 3 ya Tanzania bara na zoezi limekwenda vizuri sana, mamlaka zimetoa ushirikiano wakutosha, zoezi la kutransfer majina ya wamiliki limekwenda vyema sana.
Baada ya hapo nikaja Zanzibar kupata eneo ili kukamilisha zoezi na kuanza hatua inayofuata. Kwakifupi wameniambia SINA SIFA ya kumiliki ardhi maana mimi sio Mzanzibari wala sio mkaazi wa kudumu wa Zanzibar.
Nimeshangaa sana, huu ni muungano gani? Nawafahamu WAPEMBA wengi wanamiliki viwanja, mashamba na nyumba Tanzania bara na wamemilikishwa kwa kufuata utaratibu uleule tunaofuata watu wa bara.
Mh. Rais hapa mnatunyonya, hakuna haja ya muungano kama mambo yenyewe ni haya. Pia eneo letu la MAKURUNGE lirudishwe toka kwenye mikono ya serikali ya Zanzibar wauziwe watanganyika.
Asisumbuwe akili yako, huyo fedhuli aitowe wapi pesa ya kununuwa kiwanja? Godoro la kulalia hana itakuwa kiwanja?Lazima ufahamu kuwa huu muungano ni kati ya nchi mbili moja ni kubwa na yenye uwezo mkubwa na nyingine ni ndogo Haina hata eneo la kuwatosha wenyewe na vizazi vijavyo. Kwa hiyo lazima mwenye uwezo zaidi atoe zaidi pia Ili kuimarisha muungano.
Zanzibar walikabidhi masuala mengi kwenye muungano kama masuala ya fedha, ulinzi, siasa ya mambo ya nje n.k.
Kumbuka mpaka rais waiting jumbe aliondolewa na kufungwa na Nyerere.
Na mwenyekiti mwenyewe alipata 0 kidato cha 4!Zidumu fikra za Mwenyekiti......
Ila wenye ngozi nyeupe wanauziwaNimeshangaa sana, huu ni muungano gani? Nawafahamu WAPEMBA wengi wanamiliki viwanja, mashamba na nyumba Tanzania bara na wamemilikishwa kwa kufuata utaratibu uleule tunaofuata watu wa bara.
🙋♂️✍️🎯👌👍👊👏🤝🙏💐🎁🛡️Duniani kama huwezi kujitetea, sahau mwingine akutetee. Na ikiwezekana utatawaliwa na kuonewa jumla.
Wana green leaves.Ila wenye ngozi nyeupe wanauziwa
🙋♂️✍️🎯👌👍👊👏🤝🙏💐🎁🛡️Wazenji hawautaki huu muungano, na wakisema mnawapa kesi za uhaini na ugaidi, sasa nyie kwanini hamuuvunji?
Wewe unaandamana mkuu?Safi sana m
kiambiwa
Safi sana mkiambiwa muandamane kupinga sheria mbovu na kudai katiba mpya mnasema hayo hayawahusu. Ni Ya CDM sasa mtatoa milio ya Kila aina
🤣 🤣 🤣Ulivamia nchi ya watu
Polee ndio wajuwa leo.. hukumsikia Mh Warioba?Hivi majuzi nimetoka kununua viwanja vya biashara kwenye mikoa 3 ya Tanzania bara na zoezi limekwenda vizuri sana, mamlaka zimetoa ushirikiano wakutosha, zoezi la kutransfer majina ya wamiliki limekwenda vyema sana.
Baada ya hapo nikaja Zanzibar kupata eneo ili kukamilisha zoezi na kuanza hatua inayofuata. Kwakifupi wameniambia SINA SIFA ya kumiliki ardhi maana mimi sio Mzanzibari wala sio mkaazi wa kudumu wa Zanzibar.
Nimeshangaa sana, huu ni muungano gani? Nawafahamu WAPEMBA wengi wanamiliki viwanja, mashamba na nyumba Tanzania bara na wamemilikishwa kwa kufuata utaratibu uleule tunaofuata watu wa bara.
Mh. Rais hapa mnatunyonya, hakuna haja ya muungano kama mambo yenyewe ni haya. Pia eneo letu la MAKURUNGE lirudishwe toka kwenye mikono ya serikali ya Zanzibar wauziwe watanganyika.
🙄Wana green leaves.
Huu Muungano ni kwa ajili ya Wzanzibari! Na siyo Watanganyika. Kwa jina lingine unafahamika kama Muungano wa changu changu, chako changu.Hivi majuzi nimetoka kununua viwanja vya biashara kwenye mikoa 3 ya Tanzania bara na zoezi limekwenda vizuri sana, mamlaka zimetoa ushirikiano wakutosha, zoezi la kutransfer majina ya wamiliki limekwenda vyema sana.