Muungano gani huu wa KIBAGUZI?

Zanzibar ya wapi ulienda kununuwa viwanja? Labda pesa yako ndogo tu, Zanzibar tunauza viwanja kwa dollar tu.

Njoo Kizimkazi tukuuzie viwanja.
 
Siku huu muungano ukivunjika hao Wapemba na Waunguja walionunua ardhi na kujenga huku itakula kwao kwani lazima tuwawinge warudi nchini kwao .
Mbona safi sana hiyo. Umemsahau kaburu mliyetaka kumdhulumu alifanya nini?
 
Lazima ufahamu kuwa huu muungano ni kati ya nchi mbili moja ni kubwa na yenye uwezo mkubwa na nyingine ni ndogo Haina hata eneo la kuwatosha wenyewe na vizazi vijavyo. Kwa hiyo lazima mwenye uwezo zaidi atoe zaidi pia Ili kuimarisha muungano.
Zanzibar walikabidhi masuala mengi kwenye muungano kama masuala ya fedha, ulinzi, siasa ya mambo ya nje n.k.
Kumbuka mpaka rais wao Aboud jumbe aliondolewa na kufungwa na Nyerere.
 
Asisumbuwe akili yako, huyo fedhuli aitowe wapi pesa ya kununuwa kiwanja? Godoro la kulalia hana itakuwa kiwanja?
 
Nimeshangaa sana, huu ni muungano gani? Nawafahamu WAPEMBA wengi wanamiliki viwanja, mashamba na nyumba Tanzania bara na wamemilikishwa kwa kufuata utaratibu uleule tunaofuata watu wa bara.
Ila wenye ngozi nyeupe wanauziwa
 
Ila tukiweka chuki pembeni na kuwaza kibinadamu... Hivi kweli wa bara mkiruhusiwa kumiliki viwanja znz si mtaimaliza mpaka bahari. Kuna eneo gani kule !?

Em tufikiri sahihi.
 
Duniani kama huwezi kujitetea, sahau mwingine akutetee. Na ikiwezekana utatawaliwa na kuonewa jumla.
πŸ™‹β€β™‚οΈβœοΈπŸŽ―πŸ‘ŒπŸ‘πŸ‘ŠπŸ‘πŸ€πŸ™πŸ’πŸŽπŸ›‘οΈ
 
Polee ndio wajuwa leo.. hukumsikia Mh Warioba?
 
Huu Muungano ni kwa ajili ya Wzanzibari! Na siyo Watanganyika. Kwa jina lingine unafahamika kama Muungano wa changu changu, chako changu.

Hakika huu ni Muungano wa hovyo sana! Na sijui imekuwaje Watanganyika tumeendelea kuuvumilia huu ujinga! Sijui tumerogwa na hawa wala urojo wasio na vichogo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…