Muungano gani huu wa KIBAGUZI?

Tuwakatae wazanzibar ni watu wa hovyo sn hawatufai hata kidogo
 
Tuwabague wazanzibar wasiishi huku kwetu ni watu wa hovyo sn
 
Mimi sio Mzanzibari lakini linapokuja suala la ardhi, naona tunawaonea bure wale jamaa
Tatizo sio wazanzibari, tatizo ni sisi wabara na viongozi wetu
mi
 
Sio mara moja, mbili au tatu Wazanzibari wamesema hawatutaki sisi VICHOGO kwenye Ardhi yao.

Na ukiwa Mkristo ndio unaitwa KAFIRI kabisa.

Wao wakiwa Tanganyika wanaishi kama Wafalme
 
Kwakifupi wameniambia SINA SIFA ya kumiliki ardhi maana mimi sio Mzanzibari wala sio mkaazi wa kudumu wa Zanzibar.
Jaribu kufuata maelekezo mbona rahisi tu, tafuta hizo sifa halafu uone kama utanyimwa. Watu kibao kutoka bara wanamiliki ardhi kwa kufuata sheria, taratibu na kanuni zilizowekwa.

Halafu jaribu kutumia akili ya kawaida, Zanzibar na bara unataka ziwe sawa kwenye mgawanyo wa ardhi??
Halafu unatakiwa ufahamu kuwa " Kila mzanzibar ni mtanzania, ila siyo kila mtanzania ni mzanzibar".

Jaribu kupunguza:

mhemko

hali ya kupandwa na hasira au hamu kubwa

Kwani huondoa:

akili

1.
uwezo wa kuelewa na kujifunza mambo

2.uwezo wa kufikiri na kuamua kwa busara

 
Mtoa mada ni muongo mkubwa hana cha kufanya kaamua kuja kuleta uzushi kwenye jamii

Watu kibao wa Tanzania bara wanamiliki viwanja unguja kwa hiyo Acha kuleta stories za kijinga mana kuna WAPUMBAVU KIBAO HUMU KWENYE JAMII WATAKUAMINI NA KUTENGENEZA CHUKI KWA WAZANZIBAR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…