Muungano mpya kati ya Burundi na Tanzania?

Muungano mpya kati ya Burundi na Tanzania?

Justine Marack

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
612
Reaction score
1,698
Source BBC: Kuwa ilikua ni ndoto ya Muasisi wa Taifa la BURUNDI Hayati Rwagaore kuunganisha Tanzania na Burundi kuwa nchi Moja.

Siri hiyo aliitoa Mwa Nyerere katika Moja ya vikao vya usuluhishi wa migogoro ya Burundi.

Kwa mujibu wa BBC, majadiliano yanaendelea ili kutimiza ndoto ya Rwagasore na Nyerere kuunganisha mataifa hayo na kuwa nchi Moja.

Jambo la kujiuliza ni juu ya faida au hasara ya kufanya hivyo.
 
Nimpango mzuri ila we must be open eyes usiwe mlango wa shetani kutuangamiza na kututesa. Mgeni aweza kuwa mzuri ktk siku yakwanza ila mgeni akibadilika na kuanza kutembea na mke wako nakufanya mambo ya ajabu basi bila shaka mgeni huyo huwa shubiri. We are Tanganyika. Nadhani kabla ya Burundi tuanze na Zanzibar maana tunasema hatudanganyiki. Yes
 
Miaka ya 2000 nilipita round about flani Bujumbura nikaona picha ya Louis Rwagasore na Melchior Ndadaye.nchi nyingi za Africa round about wanaweka picha za marais.
 
Source BBC: Kuwa ilikua ni ndoto ya Muasisi wa Taifa la BURUNDI Hayati Rwagaore kuunganisha Tanzania na Burundi kuwa nchi Moja. Siri hiyo aliitoa Mwa Nyerere katika Moja ya vikao vya usuluhishi wa migogoro ya Burundi.
Kwa mujibu wa BBC, majadiliano yanaendelea Dodoma ili kutimiza ndoto ya Rwagasore na Nyerere kuunganisha mataifa hayo na kuwa nchi Moja.
Jambo la kujiuliza ni juu ya faida au hasara ya kufanya hivyo.

mimi shida yangu n jina…kama litabaki tanzania sawa…tusije tukawa Butanzania[emoji3]
 
naitafuta habar siioni ebu weka link
 
mimi shida yangu n jina…kama litabaki tanzania sawa…tusije tukawa Butanzania[emoji3]
Jina tanzania litabaki hivi hivi hata kama muungano na zanzibar utavunjika kwa kuwa ndilo jina tulilo tunga wenyewe kinyume na majina ya mkoloni ...kama ikitokea muungano kuvunjika basi baada ya siku chache tanganyika inabadili jina na kuwa tz
 
Back
Top Bottom