Muungano mpya kati ya Burundi na Tanzania?

Muungano mpya kati ya Burundi na Tanzania?

Hili lá Zanzibar ndio la maana,inatakiwa tuwe na Rais mmoja na nchi moja tu itakayoitwa Jamhuri ya Tanzania, ikiwa tuna Marais wawili wa bara na visiwani bado kuna tatizo,huo muungano wa Burundi unakaribishwa kwa nguvu zote ila kwanza tulimalize hili tatizo na Zanzibar
Nalog off Z
Raisi mmoja na serikali moja au muungano uvunjwe
 
Jina tanzania litabaki hivi hivi hata kama muungano na zanzibar utavunjika kwa kuwa ndilo jina tulilo tunga wenyewe kinyume na majina ya mkoloni ...kama ikitokea muungano kuvunjika basi baada ya siku chache tanganyika inabadili jina na kuwa tz
nchi ya Tanganyika ishakufa kitambo 1964.
 
Huo muungano unafaida gani kwetu? Mnataka kuongeza migogoro tu!
 
Source BBC: Kuwa ilikua ni ndoto ya Muasisi wa Taifa la BURUNDI Hayati Rwagaore kuunganisha Tanzania na Burundi kuwa nchi Moja.

Siri hiyo aliitoa Mwa Nyerere katika Moja ya vikao vya usuluhishi wa migogoro ya Burundi.

Kwa mujibu wa BBC, majadiliano yanaendelea ili kutimiza ndoto ya Rwagasore na Nyerere kuunganisha mataifa hayo na kuwa nchi Moja.

Jambo la kujiuliza ni juu ya faida au hasara ya kufanya hivyo.
Hii yenyewe itatushinda bado mpaka leo watu hawana umeme na maji na huduma ya afya sasa tuongeze mzigo wa nini
 
Samahani inawezekana ni ubinafsi wangu lakini kwangu ninachokiona watanganyika tumekuwa kama kondoo wa kafara kila muungano sisi ndio tunao umia kibaya zaidi wenzetu waliopo kwenye keki ndio wanaotuuza.
yaleyale aliyemkamata mwafrika na kumkabidhi kwa mwarabu ni mwafrika mwenzake ni sawa na gadafi aliyeuwawa na Mkenya.
tunaingia hasara kubwa sana na tunajifanya hatuoni ikiwemo kudhurumiwa ardhi yetu na kazi zetu kwa kisingizio cha muungano
 
Bora Tuungane na Rwanda, ili wale Warembo tuwe tunamwagilia wote moyo kitambaa cheupe [emoji23][emoji23]
We mjinga nini, Uungane na wale Nyoka kwajili ya nini, Nani kakuambia Kigali ina Warembo kuliko Bujumbura
 
Jina tanzania litabaki hivi hivi hata kama muungano na zanzibar utavunjika kwa kuwa ndilo jina tulilo tunga wenyewe kinyume na majina ya mkoloni ...kama ikitokea muungano kuvunjika basi baada ya siku chache tanganyika inabadili jina na kuwa tz
Uzuri Muungano hauwezi kuvunjika mwenye kizazi hiki
 
Bora tu tuungane na Tarime sasa kama imeshindikana kabisa kukaa pekeyetu. Kulilia miungano ni kutojiamini kiuchumi,kisiasa mpk kila kitu.
Ningewaona wana akili kama wangehitaj ushirikiano tu katika miradi mbalimbali ya kiuchumi na sio Muungano. EAC imeshindwa kutekeleza hilo mpaka kunataka kuundwa kamati ndani ya kamati
 
Back
Top Bottom