Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 612
- 1,698
Warundi na Rwanda mbona wanafanana wote ni Wahutu na watutsiBora Tuungane na Rwanda, ili wale Warembo tuwe tunamwagilia wote moyo kitambaa cheupe [emoji23][emoji23]
Burundi ina Watutsi tena watulivu kuliko wa RwandaBora Tuungane na Rwanda, ili wale Warembo tuwe tunamwagilia wote moyo kitambaa cheupe 😂😂
Source BBC: Kuwa ilikua ni ndoto ya Muasisi wa Taifa la BURUNDI Hayati Rwagaore kuunganisha Tanzania na Burundi kuwa nchi Moja. Siri hiyo aliitoa Mwa Nyerere katika Moja ya vikao vya usuluhishi wa migogoro ya Burundi.
Kwa mujibu wa BBC, majadiliano yanaendelea Dodoma ili kutimiza ndoto ya Rwagasore na Nyerere kuunganisha mataifa hayo na kuwa nchi Moja.
Jambo la kujiuliza ni juu ya faida au hasara ya kufanya hivyo.

Nani kakuambia wale warembo burundi hawapo!halafu watutsi wa burundi hata awaringiBora Tuungane na Rwanda, ili wale Warembo tuwe tunamwagilia wote moyo kitambaa cheupe 😂😂
Itakua TANZABUNIA[emoji23]mimi shida yangu n jina…kama litabaki tanzania sawa…tusije tukawa Butanzania[emoji3]
Sawa mkuuNani kakuambia wale warembo burundi hawapo!halafu watutsi wa burundi hata awaringi
Jina tanzania litabaki hivi hivi hata kama muungano na zanzibar utavunjika kwa kuwa ndilo jina tulilo tunga wenyewe kinyume na majina ya mkoloni ...kama ikitokea muungano kuvunjika basi baada ya siku chache tanganyika inabadili jina na kuwa tzmimi shida yangu n jina…kama litabaki tanzania sawa…tusije tukawa Butanzania[emoji3]
Hata burundi wapo sema hawana promo tuBora Tuungane na Rwanda, ili wale Warembo tuwe tunamwagilia wote moyo kitambaa cheupe [emoji23][emoji23]