jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Ni jambo zuri kuungana lakini lazima tutathmini kwa kina na kujiuliza kwanza kabla ya kuungana nao kwa maana kuungana maana yake ni kufungua mipakaSource BBC: Kuwa ilikua ni ndoto ya Muasisi wa Taifa la BURUNDI Hayati Rwagaore kuunganisha Tanzania na Burundi kuwa nchi Moja.
Siri hiyo aliitoa Mwa Nyerere katika Moja ya vikao vya usuluhishi wa migogoro ya Burundi.
Kwa mujibu wa BBC, majadiliano yanaendelea ili kutimiza ndoto ya Rwagasore na Nyerere kuunganisha mataifa hayo na kuwa nchi Moja.
Jambo la kujiuliza ni juu ya faida au hasara ya kufanya hivyo.
Muungano ni jambo jema?Ni jambo zuri kuungana lakini lazima tutathmini kwa kina na kujiuliza kwanza kabla ya kuungana nao kwa maana kuungana maana yake ni kufungua mipaka
kama warundi wenyewe kwa uchache wao kuna msuguano mkubwa na mauaji ya kikabila japokuwa wana Makabila makubwa mawili je?
Itakuwaje wakija na kuchanganyika kwenye jamii yetu watanzania wenye makabila zaidi ya 120?
Wataenea masokoni, Vyuoni, kwenye Ajira, Masokoni nk...
Je wanaweza kustaarabika na kujizuia kwa upole na uvumilivu kama watanzania...?
Je kukitokea uchaguzi na akapita kiongozi asiyekubalika kwao watakubali kutulia na kuendelea na shughuli zao za kawaida bila vurugu kama watanzania?
Muungano ni jambo jema lakini linahitaji umakini wa hali ya juu sana....
Hili lรก Zanzibar ndio la maana,inatakiwa tuwe na Rais mmoja na nchi moja tu itakayoitwa Jamhuri ya Tanzania, ikiwa tuna Marais wawili wa bara na visiwani bado kuna tatizo,huo muungano wa Burundi unakaribishwa kwa nguvu zote ila kwanza tulimalize hili tatizo na ZanzibarNimpango mzuri ila we must be open eyes usiwe mlango wa shetani kutuangamiza na kututesa. Mgeni aweza kuwa mzuri ktk siku yakwanza ila mgeni akibadilika na kuanza kutembea na mke wako nakufanya mambo ya ajabu basi bila shaka mgeni huyo huwa shubiri. We are Tanganyika. Nadhani kabla ya Burundi tuanze na Zanzibar maana tunasema hatudanganyiki. Yes
... amebakiza miaka mingapi ya kuishi?Naunga mkono hoja. Bila kufanya hivyo PK atakasumbua sana kale ka nchi.
BUTAZA, TABUZA, ZATABUNchi itaitwa BUTANZABAR
Ni rahis ku'guess umri wako๐๐Bora Tuungane na Rwanda, ili wale Warembo tuwe tunamwagilia wote moyo kitambaa cheupe ๐๐
Burundi awana Umeme wa uhakika na hii inawafanya wawe masikini japo wana madini ya kutosha kuinua uchumi wao. Pia awana viwanda vya kutosha na awana matajiri weneye uwezo wa kuivest na kuketa ajira za kutosha ! Wakiungana na TZ wanaweza inuka kiuchumi na raia wao wakapata nafuu ya maishaNi jambo zuri kuungana lakini lazima tutathmini kwa kina na kujiuliza kwanza kabla ya kuungana nao kwa maana kuungana maana yake ni kufungua mipaka
kama warundi wenyewe kwa uchache wao kuna msuguano mkubwa na mauaji ya kikabila japokuwa wana Makabila makubwa mawili je?
Itakuwaje wakija na kuchanganyika kwenye jamii yetu watanzania wenye makabila zaidi ya 120?
Wataenea masokoni, Vyuoni, kwenye Ajira, Masokoni nk...
Je wanaweza kustaarabika na kujizuia kwa upole na uvumilivu kama watanzania...?
Je kukitokea uchaguzi na akapita kiongozi asiyekubalika kwao watakubali kutulia na kuendelea na shughuli zao za kawaida bila vurugu kama watanzania?
Muungano ni jambo jema lakini linahitaji umakini wa hali ya juu sana....
Wajuvi wa siasa wa Burundi si watulivu kabisa Wallah watatupanda vichwani sisi watz hatujazoea shali, Wakishaanza kuingiwa na tamaa tu watataka wacomtrol state nzima. Tutapangishwa na wapangaji nyumba yetu wenyewe.Source BBC: Kuwa ilikua ni ndoto ya Muasisi wa Taifa la BURUNDI Hayati Rwagaore kuunganisha Tanzania na Burundi kuwa nchi Moja.
Siri hiyo aliitoa Mwa Nyerere katika Moja ya vikao vya usuluhishi wa migogoro ya Burundi.
Kwa mujibu wa BBC, majadiliano yanaendelea ili kutimiza ndoto ya Rwagasore na Nyerere kuunganisha mataifa hayo na kuwa nchi Moja.
Jambo la kujiuliza ni juu ya faida au hasara ya kufanya hivyo.
Mipaka ya wakoloni isitutenganishe..burundi ni ndugu zetu wa damu.Muafrika ndo maana alichuliwa utumwani
Kichwa chake bado ni cha Homo Erectus
Hatujajifunza Zanzibar
Hivi unaweza kumtamkia Mmarekani aungane na Haiti ?
Duuh..tukiungana na kenya je..?huo muungano utaitwaje..?Nchi itaitwa BUTANZABAR
Kwa nini maguvu wakati kama jnavyosemekana Burundi iko tayari na inatamani wawe sehemu yetu?Nashauri Tanzania ivamie kijeshi Rwanda na Burundi ziwe mikoa ya Tanzania.