Raisi mmoja na serikali moja au muungano uvunjweHili lá Zanzibar ndio la maana,inatakiwa tuwe na Rais mmoja na nchi moja tu itakayoitwa Jamhuri ya Tanzania, ikiwa tuna Marais wawili wa bara na visiwani bado kuna tatizo,huo muungano wa Burundi unakaribishwa kwa nguvu zote ila kwanza tulimalize hili tatizo na Zanzibar
Nalog off Z
Kwa nini maguvu wakati kama jnavyosemekana Burundi iko tayari na inatamani wawe sehemu yetu?
nchi ya Tanganyika ishakufa kitambo 1964.Jina tanzania litabaki hivi hivi hata kama muungano na zanzibar utavunjika kwa kuwa ndilo jina tulilo tunga wenyewe kinyume na majina ya mkoloni ...kama ikitokea muungano kuvunjika basi baada ya siku chache tanganyika inabadili jina na kuwa tz
PK kazeeka huyo.Naunga mkono hoja. Bila kufanya hivyo PK atakasumbua sana kale ka nchi.
Shida ni idadi ya watu au akili kutofunguka?Tuongeze watu 12m kuja kugombea ardhi!?
Mkeo akileta maringo, tafuta mchepuko. Ndicho kinachotokea!Zanzibar yenyewe twataka ijitenge
Huko kwao ardhi ya kulima hakuna,wqnaingia tz kimagumashi,ardhi hakuna utafunguaje akili kuziba ombwe la ardhi!?Shida ni idadi ya watu au akili kutofunguka?
Hii yenyewe itatushinda bado mpaka leo watu hawana umeme na maji na huduma ya afya sasa tuongeze mzigo wa niniSource BBC: Kuwa ilikua ni ndoto ya Muasisi wa Taifa la BURUNDI Hayati Rwagaore kuunganisha Tanzania na Burundi kuwa nchi Moja.
Siri hiyo aliitoa Mwa Nyerere katika Moja ya vikao vya usuluhishi wa migogoro ya Burundi.
Kwa mujibu wa BBC, majadiliano yanaendelea ili kutimiza ndoto ya Rwagasore na Nyerere kuunganisha mataifa hayo na kuwa nchi Moja.
Jambo la kujiuliza ni juu ya faida au hasara ya kufanya hivyo.
umekosea kidogo itakuwa TANZIA BUNDIItakua TANZABUNIA[emoji23]
We mjinga nini, Uungane na wale Nyoka kwajili ya nini, Nani kakuambia Kigali ina Warembo kuliko BujumburaBora Tuungane na Rwanda, ili wale Warembo tuwe tunamwagilia wote moyo kitambaa cheupe [emoji23][emoji23]
Uzuri Muungano hauwezi kuvunjika mwenye kizazi hikiJina tanzania litabaki hivi hivi hata kama muungano na zanzibar utavunjika kwa kuwa ndilo jina tulilo tunga wenyewe kinyume na majina ya mkoloni ...kama ikitokea muungano kuvunjika basi baada ya siku chache tanganyika inabadili jina na kuwa tz
Mbona aliungana na HawaiiMuafrika ndo maana alichuliwa utumwani
Kichwa chake bado ni cha Homo Erectus
Hatujajifunza Zanzibar
Hivi unaweza kumtamkia Mmarekani aungane na Haiti ?
Hahaha aisee umeongea point 😂mimi shida yangu n jina…kama litabaki tanzania sawa…tusije tukawa Butanzania[emoji3]