kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
UKAWA na CCM walitutia hasara ya mabilioni baada ya kukwamisha mchakato wa kuandika Katiba mpya uliotumia mabilioni yetu ya fedha.
UKAWA na Mzee Warioba walitaka Muungano na serikali tatu na CCM walitaka serikali mbili za sasa. Kila kundi lilikuwa na hoja nzuri ila CCM walikuwa na hoja nzuri zaidi kwakuwa hoja zao ziliungwa mkono na hata Mwl Nyerere na Mzee Karume, waasisi wa Muungano huu na pia muungano wa serikali 2 umedumu kwa miaka 62 sasa ndani ya muungano. Serikali 2 ziko karibu sana na serikali moja. Present is known.
Hoja za UKAWA na Warioba za kutaka muungano wa serikali zinalenga kulipiza kisasi cha kwanini wao wanayo serikali yao sisi hatuna, kwanini mambo yetu yaamuliwe Dodoma?. Tunataka nchi yetu. Serikali 3 ziko mbali sana na serimali moja. Serukali 3 ni jambo geni litakuwa na kujifunza kwingi. Fear of the unknown.
Hivyo, Kabla ya mchakato wa Katiba mpya haujaanza lazima tutatue kwanza kizingiti hiki cha aina ya muungano kabla hatujapata hasara tena kwenye mchakato ambao utavunjika kabla ya kufika mwisho.
Kama kuna nia njema ni heri mazungumzo yawe ya serikali moja badala ya 2 au 3. Yaani kila upande upate na kupoteza ili watanzania wapate vyote. Yaani lose-lose na win-win; sio 2 lakini sio 3 ni 1.
Kama ikishindikana kuwa na serekali moja basi tuwe na serikali ya majimbo yenye sura kama ya serikali ya Zanzibar, yaani majimbo yanayojiendesha partially na serikali kuu.
kutumia fedha zetu kwenye kuandika Katiba ambayo tunajua haitafika mwisho ni heri kutumia hela hiyo kuongeza mikopo ya elimu kwa wanafunzi.