Tatizo hata huko bara hamnunui umeme kwa market price inayo cover production cost.Issue sio kwanini wao Zanzibar wauziwe bei rafiki bali kwanini sisi watu wa bara tusiuziwe bei rafiki ?
Na wale wataosema Zanzibar ni wanyonyaji wanakosea, Tukumbuke kwamba Bara ndio inang'ang'ania sana huu muungano matokeo yake ndio haya sasa inabidi waipe Zanzibar kipaumbele kuzidi Bara iwe ni kwenye ajira, vyeo, huduma, n.k.
muungano unatu cost sana huuTatizo hata huko bara hamnunui umeme kwa market price inayo cover production cost.
Umeme, kwa watumiaji wengi wa kawaida, unauzwa kwa bei ya chini sana Tanzania, hata bara.
Bei hii hai reflect gharama za uzalishaji, ugavi na uendeshaji.
Serikali imefanya umeme kuwa ni "public good".
Na hili si jambo baya necessarily, hususan likifanywa kwa mkakati unaotekelezeka kiuchumi na kupanga kuwaondoa watu katika umasikini, kisha walipe bei halisi.
Ila, kwa sasa, bado gharama za uzalishaji, ugavi na uendeshaji zinahitaji kuwa covered.
Na hili ni moja ya matatizo ya umeme Tanzania.
Tanzania watu hawalipii gharama halisi za umeme. Bara na visiwani. Inawezekana Zanzibar wakawa wanalipia chini zaidi, lakini hata bara hawalipii inavyotakiwa.
Kwa mujibu wa Maharage Chande, Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, alipokuwa akiongea na mtandao wa "Kumekucha", watumiaji wengi wa umeme Tanzania wanalipia kuanzia 33% mpaka 50% ya gharama halisi za umeme.
So, tunapoongelea Zanzibar, hili nalo tuliangalie.
Kula na kulipa, ndiyo mtindo wa kisasa.
Nimekueleza vizuri matatizo zaidi ya Muungano.muungano unatu cost sana huu
Aisee!!.
Tanzania watu hawalipii gharama halisi za umeme. Bara na visiwani. Inawezekana Zanzibar wakawa wanalipia chini zaidi, lakini hata bara hawalipii inavyotakiwa.
Hili dude linaloitwa muungano yafaa tulibomoe, ssh yeye yuko madarakani kwa ajili ya kutengeneza kwao kwa gharama zetu, tuamkeYaani Zanzibar wauziwe unit moja ya umeme kwa tsh.130 kama alivyoeleza Waziri wa Nishati na Madini Zanziber wakati sisi huku bara tunauziwa shilingi 350 na senti kadhaa.
Na wale wataosema Zanzibar ni wanyonyaji wanakosea, Tukumbuke kwamba Bara ndio inang'ang'ania sana huu muungano matokeo yake ndio haya sasa inabidi waipe Zanzibar kipaumbele kuzidi Bara iwe ni kwenye ajira, vyeo, huduma, n.k.
Bara tumebaki kuubeba mzigo mkubwa sana kwenye muungano huu
Tatizo hata huko bara hamnunui umeme kwa market price inayo cover production cost.
Umeme, kwa watumiaji wengi wa kawaida, unauzwa kwa bei ya chini sana Tanzania, hata bara.
Bei hii hai reflect gharama za uzalishaji, ugavi na uendeshaji.
Serikali imefanya umeme kuwa ni "public good".
Na hili si jambo baya necessarily, hususan likifanywa kwa mkakati unaotekelezeka kiuchumi na kupanga kuwaondoa watu katika umasikini, kisha walipe bei halisi.
Ila, kwa sasa, bado gharama za uzalishaji, ugavi na uendeshaji zinahitaji kuwa covered.
Na hili ni moja ya matatizo ya umeme Tanzania.
Tanzania watu hawalipii gharama halisi za umeme. Bara na visiwani. Inawezekana Zanzibar wakawa wanalipia chini zaidi, lakini hata bara hawalipii inavyotakiwa.
Kwa mujibu wa Maharage Chande, Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, alipokuwa akiongea na mtandao wa "Kumekucha", watumiaji wengi wa umeme Tanzania wanalipia kuanzia 33% mpaka 50% ya gharama halisi za umeme.
So, tunapoongelea Zanzibar, hili nalo tuliangalie.
Kula na kulipa, ndiyo mtindo wa kisasa.
Wabongo wengi chupri chupri nyingi sana, wanajiunganishia, wanaiba, maintenance ndogo inaleta inefficiencies.Inawezekana pia umeme wa Tanzania unazalishwa na kusambazwa kwa gharama kubwa kuliko inavyopasa kwa sababu ya "inefficiencies"
Usishangae ni taratibu ziliopo toka siku nyingi. Unasema bila utafiti wala ushahidi ? Je wajua Bara kuna umeme wa Rea? Haupo Dar ila upo mikoani. Tena umeme wa Rea unalipa chini ya unit 1 kwa 120 au karibia 130. Je hujui kua bara kwa Zanzibar inatizamiwa kama miongoni ya mikoa midogo ya Tanganyika? Kama unataka upate umeme wa bei rahsi njoo uenshi huku vijijini. Utajua umeme wa bei ya chini upo.Yaani Zanzibar wauziwe unit moja ya umeme kwa tsh.130 kama alivyoeleza Waziri wa Nishati na Madini Zanziber wakati sisi huku bara tunauziwa shilingi 350 na senti kadhaa.
Na wale wataosema Zanzibar ni wanyonyaji wanakosea, Tukumbuke kwamba Bara ndio inang'ang'ania sana huu muungano matokeo yake ndio haya sasa inabidi waipe Zanzibar kipaumbele kuzidi Bara iwe ni kwenye ajira, vyeo, huduma, n.k.
Bara tumebaki kuubeba mzigo mkubwa sana kwenye muungano huu
1) Mwenye hoja hii hujajua vizuri kinachobishaniwa.Usishangae ni taratibu ziliopo toka siku nyingi. Unasema bila utafiti wala ushahidi ? Je wajua Bara kuna umeme wa Rea? Haupo Dar ila upo mikoani. Tena umeme wa Rea unalipa chini ya unit 1 kwa 120 au karibia 130. Je hujui kua bara kwa Zanzibar inatizamiwa kama miongoni ya mikoa midogo ya Tanganyika? Kama unataka upate umeme wa bei rahsi njoo uenshi huku vijijini. Utajua umeme wa bei ya chini upo.
Mkuu kiufupi bara tunajichelewesha wenyewe maendeleo piga chini huu muungano feki unaonufaisha zaidi upande mmoja wa zanzibarNaona ni kama vile tunawasaidia kufidia gharama kwasababu ya uchache wao, kulazimisha huu muungano uendelee kuwepo, ni sawa na kulazimisha tuzidi kujiumiza.
Wao ni nchi inayojitegemea, lakini ajabu tunawalea kama watoto wadogo wakati wenyewe wanajiona wameshakomaa wana mamlaka yao kamili, tunawadekeza watu wasiotaka kudekezwa, sijui lini tutapata akili tuondokane na huu utumwa wa kujitakia.
Chande anaposema watumiaji wengi wa umeme wanalipia kuanzia 33% mpaka 50% ya matumizi ya umeme anataka kusema nini?Tatizo hata huko bara hamnunui umeme kwa market price inayo cover production cost.