kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
- Thread starter
- #81
Naomba unichague kuwa waziri mkuu wako siku ukiwa Rais ili nikusaidie kuitengeneza Tan/zan/ia ya kweli ambayo mtanzania ni mtanzania TU mwenye haki na fursa sawa ndani ya muungano. Huo ndio muungano aliokuwa ameikusudia Nyerere. Nadhani Mzee Jumbe ulimtesa sana kwa kuukataa muungano wa aina hii.Na siku nikiwa rais, Zanzibar inabaki kuwa mkoa tu na utaitwa mkoa wa Zanzibar au tutaangalia namna ya kufanya kama itafaa tuwe na mkoa wa unguja na mkoa wa pemba
Hakutakuwa na rais bali mkuu wa mkoa, wana bunge sijui linaitwaje ntaliondoa SMZ sijui ni nini tutakuwa na police Tanzania
Raia wa Tanzania pamoja na haki zake kama mtanzania ataendelea kuwa na hizo haki eneo lolote la Zanzibar
bila kuongea sana nadhani naeleweka nikisema Zanzibar itakuwa mkoa ni kuondosha namna zote zinazoweka kwamba sisi ni sisi na nyie ni nyie ni ujinga sana huu
Kama unajiona wewe ni muarabu ni ruhusa kutafuta asili ya kwenu na urudi kwa ndugu zako kwa kuwa enzi ya utumwa ilipita
Zanzibar ni ya kwetu bara na sisi huwa hatuna asili ya ubaguzi hii roho mbaya ya kibaguzi ni roho ya hawa waarabu walioacha damu zao hapa tulikubali kuwafanya ndugu kwakuwa kuna mchanganyiko wa damu zetu lakini hizi tabia chafu hatupendezwi nazo
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Hakuna mtu Yuko tayari kuwaambia wajukuu wetu sababu halisi za ugomvi wa aboud Jumbe na serikali/CCM.