Muungano wa Afrika Mashariki

Muungano wa Afrika Mashariki

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1658970040672.png
Milton Obote, Mzee Jomo Kenyatta na Mwalimu Julius Nyerere, Mwenyezi Mungu awapae pumziko lenye Kheri

Kabla ya Uhuru nchi zao zote zolikua chini ya Jumuia ya Madola, na shughuli nyingi / kiuchumi ziliingiliana. Baada ya Uhuru wazee hawa waloamia kuendeleza uhusiano ule chini ya shirika jipya la East African Community.
 
Saa kumi sahivi za usiku unaanzisha uzi mtoto wakike hulali?🙄

Nani akukosesha usingizi huyo au ndo hiyo Africa mashariki?😂
 
1.Mods rekebisheni title NI Africa na sio aftika.Na Kuna vimakosa kidogo vya uandishi Ila ujumbe wako wa msingi tumeupata.

2.shikamoo mamdogo sky.

3.hujagusia kwenye kuanguka kwa jumuiya NI hawahawa walikuwa maraisi kipindi inakufa miaka ya 70's.

4.nimependa vifimbo vyao kwanini siku hizi Marais hawatembei na fimbo au virungu hivyo.
 
Back
Top Bottom